Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
Mpeleke kwao yeye na mama yake wajadiliane kama mjomba atalea au mama mkwe mwenyewe.Jina la mimba huwa kuna pa kujaza mama na baba tu,hakuna pa kujaza mjomba.Hao mama na mwana wana usiri wao usioujuwa.Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app