Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Mazara ya kuishi ukweni safi sana na inaonesha wewe ni khanithi.
Correction sikua naishi ukweni, nilikua kwangu kabisa! Sema nilikua nje ya mkoa kikazi kwa muda was mwezi mmoja!
Pengine ndo alitumia hio nafasi kwenda kinyume na mimi!

Pili mimi sio Khanithi! Khanithi ni mtu asiesimamisha na asie na uwezo wa kufanya mapenzi au kumuingilia mwanamke.
Mimi uwezo ninao! Sema kuna kuzidiana marifa tu!
 
Sahihi kabisa Ahsante kwa ushauri!
 
Yan unashindwaje kumuuliza mkeo kwa utashi wako uliojaaliwa mpk ukamuulize mama mkwe,uyo mama mkwe amekuona kilaza kweli kweli ndo maana ata anaujasiri wa kukujibu atakavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi nilimuomba kadi make wangu akawa ananipigisha chenga! Na ukimuuliza anasema ni yangu! Then yeye nafkiri akamwambia mama yake kuhusu hili la kwamba nahitaji kuona kadi mana anadai aliliacha home kwao! Hapo ndo mama mkwe akatoa jibu hilo!
 
All In All Thanks kwa ushauri wenu wadau!
 
Mnaishi nyumba moja au yeye yupo kwao? Sasa kwanini usimwambie huyo mwenye jina lake ndiyo awajibiie kwa lolote linalo mtokea, hata hapo kwako kama unaishi naye mwambie aende kwa huyo mjomba wake, nawewe utakuwa hujielewi unadanganywa mchana kweupe pee, nyie ndiyo wanaume ambao bado hamjakomaa halafu unaoa hapo unachunwa tu ni ATM ya chumbani wewe

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kama kwa hili unaomba ushauri/kusaidiwa ulikuwa na kila sababu ya kusaidiwa kujaziwa mimba mkeo.
 
Mkuu umesema mkeo anadai ana ujauzito wako,,na kadi la clinic limeandikwa jina la mtu mwingine,, na unasema kila ukitaka kuliona hilo card unapigishwa chenga,,,Mimi Nina swali fikirishi kwako....uliposema card imeandikwa jina la mtu mwingine hilo card uliliona vipi? na unaposema kila ukitaka kuliona card wanakupigisha chenga maana yake hilo card hukuwahi kuliona?. sasa ulijuwaje kama kaandikwa mtu mwingine? na card hukuliona,,,Mimi nashangazwa na maelezo yako mkuu..jitafakari..Leo nakwenda kama makachero wa Scotland yard...
 
Alimvizia alipoenda chooni ndiyo akafukunyua mkoba

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…