Mkuu umesema mkeo anadai ana ujauzito wako,,na kadi la clinic limeandikwa jina la mtu mwingine,, na unasema kila ukitaka kuliona hilo card unapigishwa chenga,,,Mimi Nina swali fikirishi kwako....uliposema card imeandikwa jina la mtu mwingine hilo card uliliona vipi? na unaposema kila ukitaka kuliona card wanakupigisha chenga maana yake hilo card hukuwahi kuliona?. sasa ulijuwaje kama kaandikwa mtu mwingine? na card hukuliona,,,Mimi nashangazwa na maelezo yako mkuu..jitafakari..Leo nakwenda kama makachero wa Scotland yard...