Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo ni mkeo kweli au demu wa kusuuza rungu?Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
[hapo huna chako
dalili ya mvua ni mawinguMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchinja? huo sio ushauri,tafuta ushauri mwingine huu haufai.we pimbi kweli, angefanya mke wako hivyo ungejiskiaje , halafu unasema wanawake wana huruma, huruma my ass, mwanaume mwenzio kaja kuomba ushauri wewe unaongea faken stories hapa,
wanawake wa hivyo unapiga risasi tu, na wanaume ambao mnasapoti ujinga kama wewe ni wa kuchinjwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
achana na kuamini hizo kadi, anaweza kufungua hata kadi 2 au zaidi kadiri anavotaka na akakuandika wewe mojawapo...labda muwe kijijini zahanati 1.
Kuua sio vizuri, Mkuu sio solution utakuwa wangapi? Wakati mwingine tumuogope Mungu.Mpige risasi
Sent From Galaxy S9
Huyu ana haki ya kugongewa kabisa. No offense!Hii ni moja ya mada mbovu kabisa kuwahi kuletwa jamvini….Hata kuandika jinsi ilivyo mbovu ni upotevu wa muda…..Hakika mabwege nao wanazidiana ubora
bado mtoto, ukikua utajua kwa nini.Acha mambo yako wewe unampoteza mwenzako. Kwa nini awe na multiple cards with multiple names!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mke wa mtu sio wako....... Funguka manMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!