Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

Kwahiyo nayeye siku katoka mkewe anyanduliwe na Kaka yake? Tabia gani hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Achague moja kukipoteza tunda la kaka yake au aendelee kulilinda

Ninacho amini akimnyandua yeye Basi atanyandua kistaarabu na kwa heshima ya hali ya juu.

Kuliko likienda kunyanduliwa na watu Baki watanyandua bila ustaarabu na adabu huenda wakamla Hadi tigo na pindi kaka yake anapo toka huko gerezani akute wachimbaji walisha chimba ardhi yote na kuacha mashimo makubwa makubwa yasio weza kufukika .

Binafsi naomba amnyandue huyo Dada ni ananyege Sana kabla wahuni hawaja fanya yao.
 
Acha hizo tabia mbaya sana, wewe umeoa lakini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.mke sio ndugu yako na pia shemejio sio ndugu yako, kwa sasa wajibu wako ni kuhakikisha watoto waliopo wanaendelea kuwa na afya tele wakikua na kuongezeka maarifa,miaka mitano si mingi mpaka kaka yako atoke, jitahidi kumtendea vyema yeye ambaye ndo ndugu yako haswaaaaa!!!!!..pili kama mkeo anaona mwenzie anajituma ni wajibu wake aache uvivu kisha akutambue wewe kuwa ni mme wake na unastahili kupata huduma nzuri..
 
MWANAMKE ASIEPENDA NDUGU ZAKO HAFAI KUENDELEA KUWA MKE WAKO
Wewe wewe wewe huyu shemeji anataka kitu yaani anamtaka shemeji yake umsuburie mume wamtu unaifanya nyumba ya mtu kuwa ya kwako hapana .

Kuna mipaka bhana fuata kilichokuleta akatafute kazi yeyote alee familia yake au arudi kwao for mean time.
Ndoa naiheshimiwe na watu wote .
Huyu haieshimu ndoa ya mwenzake anamwona mume wa mwenzake kama wake nikitu haifai.
 
Ingekuwa mimi ningefanya hivyo hivyo wee ndoa na iheshimiwe na watu wote period unakaakiuchi uchi naunasubiri mume wa mtu who are you .
Mwambie akome kabisa naafuate kilichomleta anakupakulia chakula kwa muda cha wanga na mboga mboga kesho atakufunulia na cha nyama .
Kinu atakiachia pwa cha madawa na end of story kwa familia yako .

Hapo unataka second wife mbona unamtetea??
Ndege warembo watuapo mitini huwa hawadumu hata lisaa limoja pamoja maana huwekeana jam na huzibiana riziki.

Fanya hivi mwondoe hapo mpeleke kwao na tuma matumizi huko. Na akatafute kazi alee familia .
 
Yupo sahihi jipige mgukoni mpangie kaka yako sehemu ya kukaa hata miezi mitatu kisha umwambie apambane na hali yake, ila haipendezi untimue na usimpe sehemu ya kukaa
 
Kwanza nikupongeze kuichukua familia ya Kaka yako.

PILI,Huyo Mke WAKO kinachomsumbua Ni Roho mbaya.

Tatu,Iwapo utalegea ukubaliane NAYE IPO SIKU atakulazimisha umfukuze mama yako MZAZI na ukikataa TU atakutishia ama aondoke YEYE au aondoke mama yako MZAZI!??? Upo hapo? Ukiangalia undugu haufi Ila MKE mnaachana anaenda kuolewa kwingine!!!

NINI CHA KUFANYA?

MOJA, Tishio aliloliweka la kwamba uchague MOJA ama YEYE aondoke au abaki shemeji yako .
Mjibu KWA ufupi TU,

HUYU NI MKE WA KAKA YANGU,NA HAWA NI WATOTO WA KAKA YANGU ,HIVYO NITAWALEA HADI ATAKAPOTOKA BABA YAO AJE AUNGANE NA FAMILIA YAKE .HIVYO NI BORA WEWE UKAONDOKA KAMA HUTAKI KUISHI NA HAWA NDUGU ZANGU.NAKURUHUSU UONDOKE"UKAKAE HUKO KWENU SIKU AKITOKA KAKA YANGU AKAJA AKAICHUKUA BASI NA WEWE UTAKUJAGA KURUDI.NA KUHUSU KUWAKATAZA WATOTO WANGU NA WAKAKA KUCHEZA PAMOJA IWE MWANZO NA MWISHO LEO NA MAKOFI YAHUSIKE KIDOGO KAMA ATAENDELEA NA HIYO TABIA"

Nakuhakikishia hawezi kuondoka na akiondoka hamalizi mwezi ataanza kujitafutia kujifanya kumuomba msamaha .Na akinyanyua mguu wake tu kwako akaenda kwao UITHUBUTU KUMFUATA KWAO IWE JUA IWE MVUA.Hata kama wakwe zako watakuita kwao USIENDE.KESI INATAKIWA IKAZUNGUMZIWE UPANDE WENU.NA HATA KUKIMBILIA ALITAKIWA AKIMBILIE UPANDE WA NDUGU ZAKO SIYO KWAO.

Pia alishaondoka mkate huduma ,Usiwe na habari naye.Jifanye kama hukuwa hiyo kumjua. WIKI NI NYINGI SANA UTAMUONA ANAANZA KUKUPIGIA SIMU NA SIMU YAKE USIIPOKEE ,AKIPIGA MARA NYINGI SANA IPOKEE ,KISHA MUACHE AANZE YEYE KUONGEA .MAJIBU YAKO YAWE YA MKATO TU.

KAMA ANATUKANA MWAMBIE TU SAWA.VOCHA NI YAKE IWEKE SIMU PEMBENI IKIWA HEWANI ENDELEA NA KAZI ZAKO ZINGINE .


Mi aliwahi kuniharibu nikajisemea kimoyo moyo mimi huwa sijaribiwi na wala sitishiwi nyau.

FANYA NILIVYOKUELEKEZA HALAFU LETA MREJESHO
 
Yupo sahihi jipige mgukoni mpangie kaka yako sehemu ya kukaa hata miezi mitatu kisha umwambie apambane na hali yake, ila haipendezi untimue na usimpe sehemu ya kukaa
Wewe kweli boya, Yaani afukuze familia ya kaka yake kisa ni mwanamke wake kuwa na roho mbaya??

Siku mama yake mzazi amekuja kimatibabu hapo mwendo si utakuwa ni ule ule muondoe mama yako au muondoke mimi napoli pia ampangie chumba mama yake?

Msiwe na kawaida ya kucheka na wanawake zenu wakicheza na ndugu zako.

Lazima mwanamke atambue ndugu.Bila hao ndugu wewe asingekuona.

Sasa unataka ampangie chumba halafu ajihangaikie mwenyewe akianza kufanya umalaya? Ili kaka yake akija kurudi akutane na ukimwi?
 

Una umri gani ndugu yangu
 
Unajua bro kwa jinsi shem wako anavyokuhudumia ni wazi kuna siku ataomba game maana hawezi kujizuia miaka yote hiyo bila kupigwa mkulungu,sasa fanya kayo ya haya:
1.mrudishe shem wako kwa wazazi wake na umsaidie akiwa huko
2.au mpeleke kwa wazazi wenu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Una umri gani ndugu yangu
Toa hoja,
Umri ni namba tu,

We toa hoja,

Huwezi kumsikiliza mwanamke kila kitu hasa hiki anachotaka huyu mwanamke wake awafukuze watoto wa kaka yake bila hivyo et yeye aondoke na Wewe mwanaume Rijali umsikilize mkeo utakuwa ni popoma kabisaa,

Mwambie aondoke,Uone kama ataondoka,Na akiondoka mwezi hautafika atajirufi mwenyewe kundini na hapo heshima na adabu vitatamalaki.

Akimsikiliza anavyotaka yeye hatokuja kuishi na ndugu wa mume.Kila atakayekuja atampa sharti hili hilo muondoe huyu vinginevyo muondoke mimi ataondoa wangapi?

Atakuja kuishi mama yake mzazi na huyo jamaa ,Mke atampa sharti hili hili muondoe huyo mama yako kampangie chumba au mimi niondoke ukifika hapo ndipo tunasema janaume bwege kabisa lisilo na tija yoyote kwa ndugu zake.

Niliwahi kuvuja uchumba na mwanamke mmoja pale tu nilipomweleza nimepigiwa simu mama yangu kadondoka kaokotwa na wasamaria wema hivyo naenda kutuma pesa ili akodiwe Tax apelekwe hospitali.Hivyo nawewe panga bajeti yako ya matumizi ya mwezi mzima ili unijulishe nikutumie maana nitasafiri mwezi mzima huenda nisiwepo kwa ajili ya kwenda kusimamia matibabu ya mama,

Jibu alinipatia ni hili

" Mama yako ni kitu gani,Unamthamini mama yako aliyeko kijijini huko kuliko mimi niliyepo mjini na wewe"

Hiyo meseji sikumjibu chochote
Nilikaa kimyaa.Maamuzi yalitoka kimya kimya.

Alikuta,Aliomba msamaha,Alituma ndugu ,marafiki,Ilishindikana.Mimi linapokuja suala la mwanamke kunipangia ndugu zangu hilo ni heri huyo mwanamke aondoke kabisa.

Mwanamke nimekutana naye barabarani ,Ndugu tumechangia damu.undugu haufi.

We unabaki unauliza umri??? Umri ni namba tu,Toa hoja zako ,
 
Mkulu wala hakuna la kujizungusha mwambie asepe mapema kabisa

Huyo anatingisha njiti Tu Kwa ajiri ya wivu wa hovyo .

Shemeji yako anakujali Sana anajua umuhimu wa kuwepo wewe , lzm ajishushe mno kwako.


Uwe unampereka unatoa chochote ili Kaka yako amtolee kideko huyo shemeji yako


Jipe Moyo huo ndiyo ukubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…