Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

Wanawake wengi huwa ni wabinafsi.
Angekuwa mke wa Kaka yake hapo au angekuwa mdogo wake ungeendelea hata kulipia Ada hizo shule za gharama.!!!
Ni mama zetu, dada zetu nk lakini Wana roho ya ubinafsi Sana!!
 
Halafu mkewe akindoka ndiyo wabaki na huyo mke wa kaka yake na watoto wake shemeji atalea au sio? Unaijua ndoa lakini?
 
Na huenda hayo yote anayomfanyia shemeji yake mmewe hamfanyiagi unafiki tu wakuharibu ndoa za watu.
 
Wanawake wengi huwa ni wabinafsi.
Angekuwa mke wa Kaka yake hapo au angekuwa mdogo wake ungeendelea hata kulipia Ada hizo shule za gharama.!!!
Ni mama zetu, dada zetu nk lakini Wana roho ya ubinafsi Sana!!
Mke wa kaka yake hawezi kujipendekeza hivyo kwa mke wa wifi yake
 
Halafu mkewe akindoka ndiyo wabaki na huyo mke wa kaka yake na watoto wake shemeji atalea au sio? Unaijua ndoa lakini?
Kwa hiyo unataka amfukuze watoto wa kaka yake kisa huyo mwanamke mwenye roho mbaya zake?

Kesho na kesho kutwa itabidi amfukuze mama yake mzazi kisa mwanamke hamtaki mama wa huyo jamaa hapo nyumbani unanishaurije aendelee kufukuza tu?

Wewe ndio hovyo kabisaa
 
Miaka minne sasa vipi Kaka yako alishamaliza kifungo?
 
saidia ndugu zako liwalo na liwe
 
Mada za kijinga hizi
kwa jinsi unavyoelezea either ni uongo au basi wewe na huyo shemeji mnamatatizo huko kichwani kwenu.
 
Hakuna kitu kama hicho, na wala huyo bwana asiye mdhamini mkewe hajasema kuwafukuza watoto wa kaka yake, lakini kwa tabia za huyo mgeni za kuingilia ndoa za watu ndiyo sababu, hapo si kuwafukuza ampeleke kwao yaani ukweni kwa huyo mwanamke na kama watoto ni wakubwa abaki nao yeye akae ukweni
Mie sio hovyo naishi na mtu yeyote, tena wengine hata hawamfahamishi ndugu yao kama wanakuja naambiwa mimi, ila kwa mpuuzi kama huyo dada yenu siwezi ishi naye na mme wangu labda tuwe wote kwa shemeji yetu mie na yeye
 
Mada za kijinga hizi
kwa jinsi unavyoelezea either ni uongo au basi wewe na huyo shemeji mnamatatizo huko kichwani kwenu.
Watakuwa wana dinyana hao either wanatamaniana sio bure wajinga kabisa hao.
 
Tabia zipi za huyo mgeni ni mbaya?
 
Tabia zipi za huyo mgeni ni mbaya?
Sasa wewe shemeji unaendaje kumfungulia gate huku umevaa nightdress, kihele hele chakumpakulia shemeji yake wakati mkewe yupo inahusu, mara kujipitisha pitisha anataka nini hapo!
 
Sasa wewe shemeji unaendaje kumfungulia gate huku umevaa nightdress, kihele hele chakumpakulia shemeji yake wakati mkewe yupo inahusu, mara kujipitisha pitisha anataka nini hapo!
Mke hivyo vitu hafanyi. Acha wifi yake amfundishe.
 
Acha hizo tabia mbaya sana, wewe umeoa lakini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ana point ujue. Hivi nawe jiulize, mwanamke atamsubiri mme wake kwa miaka saba bila kunyanduliwa?
Hakika jibu ni hapana. Sasa akienda kufanya nje Kuna hatari wakabeba jumla, au wakachanganya uzazi, mume anakuja kutoka jela anakuta toto la mwanaume mwingine.
Wakati huyu baba mdogo akila shemeji atakula kwa Nia ya kumsaidia kaka, kumwondolea nyege na upweke shemejie, baasi
 
Familia ni baba mama na watoto, kuongea familia ndani ya familia ni shida. Wahifadhiwe kwa muda , shemeji arudi kwa wazazi wake mpaka bwana atakapomaliza kifungo. Watoto mgawanye majukumu kwa sababu ni damu yenu.
 
Sasa wewe shemeji unaendaje kumfungulia gate huku umevaa nightdress, kihele hele chakumpakulia shemeji yake wakati mkewe yupo inahusu, mara kujipitisha pitisha anataka nini hapo!
Kwanini yeye mwenye mume asiende kufungua?
 
Kwanini yeye mwenye mume asiende kufungua?
Sasa si ndiyo huyo mwenye shemeji anakimbilia kufungua gate, badala ya kwenda gerezani kumuona mmewe kazi kuharibu ndoa za watu! Au haujasoma vizuri umeanzia kati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…