Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

Wewe ukute ndugu yako kamnyandua mkeo utachekelea [emoji16][emoji16][emoji16] si utamwàmbia bora angeenda nje! Kama ni maradhi si mnaondoka wote!
 
Mke hivyo vitu hafanyi. Acha wifi yake amfundishe.
Unajua sababu ya mmewe kuswekwa huko! Je kama na yeye alichangia! Kwani kabla ya yeye kufika alimfundisha nani, huyo mwanaume hajielewi bado hajatokota kuwa mme.
 
Wewe ukute ndugu yako kamnyandua mkeo utachekelea [emoji16][emoji16][emoji16] si utamwàmbia bora angeenda nje! Kama ni maradhi si mnaondoka wote!
Sasa ntajuaje. Naamini itabaki Siri Yao. Ila ukiiweka kwenye mizani, ni heri wa ndani kuliko wa nje.
Humuhumu JF Kuna story ya bwana mmoja aliyepotea miaka kadhaa huku nyuma ameacha mke Tena kijana.
Wazee wakaamua mdogo wake ndiye amtunze shemeji kumpunguzia msongo wa mawazo.
 
Ingawa ni muda mrefu sana umepita tokea huu uzi kuanzishwa ila mimi ningependa kujua kati ya mke na shemeji nani ana chura kubwa?
 
Mwambie shemeji yako asifanye yale ambayo yalitakiwa kufanywa na mkeo
 
Usimtoe shemej ako na usiruhusu mke aende.
Cha msingi hapo ni kumuekea huyo shemej limits.
Huko anakoenda atajifkuzisha mwenyewe kama hutombadilisha
 
Huyo mkeo msenge sana
Umekuwa dhaifu
 
Duuh! Ngoma nzito hii. Mi naona kinachotaftwa hapo kinajulikana.. je huyo shemeji mtu ataweza kuvumilia miaka saba yote bila kukuguswa kweli???
 
Huyo nataka kulipiza kisasi, anataka ufukuze familia ya kaka yako ili naye alete familia ya kwake kutoka kijijini. Wanawake siku zote ni watu wa shari sana.
 
Kwahyo solution ni kumuonjesha shemeji yake au sijakuelewa??
 
Wewe ni mshamba... Maana unampa nafasi kubwa shemeji kuliko mkeo. Ushalala nae ama unamtaka? Why shemeji akimbilie kukupokea na kukuandalia chakula wakati mkeo yupo nawe unaona ni sawa? Mkeo yupo sahihi sana kukasirika..pia huyo shemeji yako nae ana kiburi na dharau kwa mkeo na bila shaka anakutawala... Kuwa makini na uishi kiume ili kulinda ndoa yako..
 
Na kama tokea zamani ulikubali kuishi na mkeo akiwa hakupokei getini wala kukuandalia chakula na majukumu hayo akayakaimu kwa dada wa kazi, endelea na staili hiyo hiyo ya maisha.. na huyo shemeji yako asijifanye mwalimu wa mahusiano hapo kwako.. akae kwa kutulia na aache maisha yaendelee kama alivyoyakuta.
 
Sasa shemeji wenyewe wawe wanaeleweka ukute mme ndiye anatazamika hao wengine punda dada angeweza kukubali?
 
Akatafute nje huko
Yaani hapo nakuhakikishia jamaa lazima ameshamla au atamla tu huyo shemeji yake maana mazingira aliyoelezea yanaonesha kuwa anataka au alishatimiza hilo suala, sasa anajiuliza kifuatacho ni nini.... ina maana kauliza swali indirectly na ktk majibu ya wadau lazima atapata la kwake la kujifariji ama kuendelea kumgegeda kwa umakini au kuacha.
 
Acha Tamaa na mke wa ndug yako jitahidi umtreat mke wako Kama mke na shemeji Kama Shem otherwise unaharibu
 
Mkuu tupe mrejesho..hii issue iliisha vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…