Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Njoo nikuuzie vumbi la Congo umsugue vzr
 
Jana kuna manzi wangu wa zamani nilikutana nae tukapiga show. Yule manzi baada ya kumaliza akaniambia siku hizi nimezeeka sina maajabu nimemsumbua tu.

Imeniuma sana japo ni kweli nilipiga show mbovu sana. Uno 10 tu wazungu hao .
 
Jana kuna manzi wangu wa zamani nilikutana nae tukapiga show. Yule manzi baada ya kumaliza akaniambia siku hizi nimezeeka sina maajabu nimemsumbua tu.

Imeniuma sana japo ni kweli nilipiga show mbovu sana.
Dah
 
Mambo mengine yanaweka ugumu kutomwaga matusi. Nyie ni watu wazima au watoto wa secondary? Mnafahamu maana ya ndoa? Ndoa sio kwa ajili yenu ili mfunikane kitandani. Bali ndoa ni kwa ajili ya familia. Ni kwa ajili ya watoto. Mambo yenu ya ndani hayaihusu familia.

Kama hamkulijua hilo tangu mwanzo basi nyie ndio wale wazazi hasara kwa mtoto. Na hakuna laana mbaya kwa mtoto kama wazazi wasiojitambua. For Fuk's sake.
 
Yani utabaki unawaza kila wakati...ni very embrassing kwakweli..utajiona kama kiberiti
Hii kama hauko strong mentally haina comeback hata kidogo!!
Mimi nina mkasa wangu ningeuweka hapa ila hii thread inahitaji ushauri kwa mujibu wa mleta mada..
But ndani ya huo mkasa ana cha kujifunza pia..
 
Mkuu endelea kutafuta hela,kukojozwa atakojozwa na maisha tu
 
Jana kuna manzi wangu wa zamani nilikutana nae tukapiga show. Yule manzi baada ya kumaliza akaniambia siku hizi nimezeeka sina maajabu nimemsumbua tu.

Imeniuma sana japo ni kweli nilipiga show mbovu sana. Uno 10 tu wazungu hao .
Kwani yule mkubwa Engonga huwa anapiga ngapi? Maana Inaonekana anapendwa na kutajwatajwa sana kwenye hayo masuala.
 
Hebu niunganishe nae nimpe masomo yake
 
Nimeshalifanyia kazi hili
 
Usikwazike kijana wetu Wenda nikwambie ukweli katika eneo wanawake wamefaulu kutukandamiza kwa baazi yetu ni Hilo lakini kaaa ukijua habari njema hakuna MWANAUME ANAYEWEZA KUMLIDHISHA MWANAMKE DUNIA NZIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…