kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hilo lipuuze, mridhishe kwa vitu vingine tuone. Labda uchumi umeyumba ndio kakuambia vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big PointAnakulinganisha na nani mkuu, ukishaona hiyo kuna msela mmoja anampelekea moto akikulinganisha na ww hauenei
Tafuna 0712 yake ukikwangua rinda ataridhika tu.....Habarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanteni
*1009#kwa vichekesho vyengine tubonyeze ngapi..?
Mpe no yangu, nimekutumia pmHabarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanteni
Ukimbie kumridhisha mkeo we una akili timamu? Hiyo assignment mzee ongeza lishe, kata tumbo na matizi ya kutosha juisi ya tende. Kula vizur punzika vya kutosha. Simamia shoo kama huwez shoo hiyo useme mzee..Habarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanteni
Kama Ni kweli huna maajabu Sasa asikuambie?Habarini?

Kakukomesha kukuambia ukweli maana unakuta na hayo mapungufu yako bado ulikuwa unachepuka kama mwehuHabarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanteni
Hapana mkuu,hayo mambo nadhani yana wenyewe. Binafsi siwezi kuendelea kuwa na mtu kam yule. Nilikuwa nafanya mpaka ukifanya kwa mwanamke mwingine anakuona kama umetumia dawaKama Ni kweli huna maajabu Sasa asikuambie?
Piga kazi acha kulialia mkuu
Am sure sina hayo mapungufu,nadhani nilikutana na mtu asiyeridhika tu. Mfano niende first round halafu second round ni baada ya lisaa limoja ndyo nimwage,kuna mapungufu gani mpaka hapo.?Kakukomesha kukuambia ukweli maana unakuta na hayo mapungufu yako bado ulikuwa unachepuka kama mwehu