Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Hilo lipuuze, mridhishe kwa vitu vingine tuone. Labda uchumi umeyumba ndio kakuambia vile.
 
Tatizo wanawake wanafikiri wao "wanafanyiwa" wakati uhalisia mnafanyana.
Kama kwenye punyeto au katika mapenzi ya jinsia moja au katika ndoto mtu anaweza kuridhika basi mkiwa wawili ni rahisi zaidi hatakama me anawahi kumaliza na inalala lakini mwanamke anaweza kuikalia hivyo hivyo na akakukuruka akamwaga na hapo automatic me anakua ameshaanza round ya 2 .
Pia maandalizi ni muhimu
Kusema ukweli siku za mwanzo kabisa lazima alikuwa anaridhika na kama mmezoeana pale mwenzako "anapokojoa' lazima utajua tu....ndio maana penzi la ndoa linasema kua nitamu
Kwasababu mnakua mmezoeana
Kama inasimama basi unaweza kumridhisha yeye ndio mwenye tatizo wanawake wengi wana aibu hadi kitandani alafu hata kama.anahamu hasemi yeye anataka kufanywa tu.mnaweza kushugulikia na kufurahia ndoa yenu mpate muda mwingi wa kuongea pamoja
Sorry kwa makosa ya kisarufi
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Tafuna 0712 yake ukikwangua rinda ataridhika tu.....
 
Kapata Batazari Engonga. Kwa kauli hiyo, nina wasiwasi kama oblangata yako itamtafisili vema tena!
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Mpe no yangu, nimekutumia pm
 
Ukimbie kumridhisha mkeo we una akili timamu? Hiyo assignment mzee ongeza lishe, kata tumbo na matizi ya kutosha juisi ya tende. Kula vizur punzika vya kutosha. Simamia shoo kama huwez shoo hiyo useme mzee..

Yani mm wanawake wa hivyo siwapatagi sijui kwa nn yani. Last time nimemsukutua mtu za chembe nikaombe turudie kakataa kabisa akasema sio chakula kile na wakati mm ndo kwanza nakoleza moto nibandike maharage
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Kama Ni kweli huna maajabu Sasa asikuambie?
Piga kazi acha kulialia mkuu
 
Kakukomesha kukuambia ukweli maana unakuta na hayo mapungufu yako bado ulikuwa unachepuka kama mwehu
 
Hapana mkuu,hayo mambo nadhani yana wenyewe. Binafsi siwezi kuendelea kuwa na mtu kam yule. Nilikuwa nafanya mpaka ukifanya kwa mwanamke mwingine anakuona kama umetumia dawa
 
Atakua kashakutana na kijeba kingine kimemsugua haswa sasa akifananisha na wewe anaona unapelea....mzee weka maji safari ishaiva hiyo.
 
Kakukomesha kukuambia ukweli maana unakuta na hayo mapungufu yako bado ulikuwa unachepuka kama mwehu
Am sure sina hayo mapungufu,nadhani nilikutana na mtu asiyeridhika tu. Mfano niende first round halafu second round ni baada ya lisaa limoja ndyo nimwage,kuna mapungufu gani mpaka hapo.?
 
Back
Top Bottom