Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Peleka moto mkuu
 
Mimi mwanamke akiniambia hvyo ntampongeza na kumpa go ahead kuna mambo mengine unaweza kuyaweka sawa kwenye ndoa lkn sio hilo tena kakueleza akiwa ametulia sio kwamba hata alikuwa amepaniki kama ambavyo wengi husema

Hapo kakupunguzia kujiamini hata huko kwa kiasi kidg ulichonacho utabaki ukijiuliza vipi hapa nimemridhisha??

Sex ni ishu ya kiroho sio kimwili watu wenye bond kiroho ni rahis kuridhishana hata kwa dakika 2 nje na hapo haitawezekana kwa sababu ili mwanamke umridhishe kuna mafekeche mengi ya kumfanyia kabla ya tendo lenyewe. Akiwa na bond na wewe atakupa ushirikiano ili kukurahisishia kazi kama hana huo ushirikiano juhud zako ni bure mana utamuweka namna fulani atakataa yani kila kitu mnakuwa mnabishana
 
Huyo mtoto ni vema ukajiridhisha kama ni wako usikute ni file la siku nyingine kaliweka pending anza kuishi ki CIA kaka hapo ni pamoto mwanamke kama huyo haoni shida kumtunuku mtoto muuza urembo akihisi wewe humridhishi
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Ndomana hata mkiuliza kama tumefika huwa tunawadanganya ili kuepusha haya
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye
 
That's a PUNCH to any man who has low self-esteem.
Think positive mkuu, kuachana sio solution kwa sababu umeujua ukweli, sasa tafuta namna ya kufanya ili aridhike...

Bahati mbaya kakuambia kwa namna ambayo sio sawa ila vyovyote vile lichukulie positively.
 
Pole ndugu lkn hili swala ni la kawaida kabisaa Wala lisikutishe sisi wanawake hatujaumbwa Kama nyie kwamba ukichomeka mtalimbo tu ukapush Mara kazaa mnamwaga UNAKUA imetoa hamu tayari sisi hatupo hivyoo na Wala sio kukaa kumaliza lisaa kwenye game ndiyo kutulizisha unaweza ukatumia dk 5 tu na tukalizika hapo kwa ushauri Kaka na bibie muongee Kama watu wazima msifichanee mwambie we udhaifu wako ulipo na yeye atafunguka udhaifu wake ulipo muulize anavyopenda kufanyiwa mkiwa kwenye bed atakuambia maana hapo ndiyo Kuna kosa mm binafsi sipendi kunyonywa masikio kwa namna yoyote hile lkn unakuta mtu kakariri ukimnyonya mwanaume o mwanamke masikio anasisimuka sio kwelii kila MTU na vitu vyake anavyopenda SEMA kuelezana ndiyo shida.na tupunguze ububuna unafki kitandani mtu anaulizwa unaenjoy jibu kweli sienjoy o unaenjoy lkn ukijibu hili kumfurahisha mwafulani Napo ni shida.Haya usiku mwema
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Nipe number yake nifanyie cancelling 🤔
 
Tatizo ni lako mwenyewe umechukulia mrejesho wa mke wako kwa mapokeo Hasi (Negative). Mpaka hapo haumridhishi kitandani na hata ukiupokea mrejesho wake negativel au kwa mtazamo hasi hakubadili ukweli kwamba haumridhishi kitandani na itabaki kuwa hivyo.

Kipi bora? Angekaa kimya na muendelee hivyo hivyo na aigize kuridhika ukidhani anaridhika kweli kumbe kuna mtu anamridhisha nje au akwambie ukweli kwa pamoja mtafute suluhisho la kumridhisha?

Nini ufanye.......
1. Ukubali mrejesho na umshukuru kwa kuwa muwazi katika ngono yenu.
2. Muulize haridhishwi na nini? Yaweza kuwa jambo dogo tu lipo ndani ya uwezo wako
3. Muulize yeye anashauri mfanye nini ili apate kufurahia ngono yenu?
4. Mwambie mshirikiane sasa katika kulifikia hilo. Na akiona bado awe huru kusema

Usipaniki mkuu, una mke mzuri sana anaeweza kukupatia mrejesho katika kile anachohitaji.

Angalizo.
Jadilianeni kujua msingi wa mrejesho wake. Asije akawa haridhiki kwa masuala yasiyo ya kimaadili kama ya Kisodoma na Kigomora. Hapo kimbia tu.
 
Anakushinda hata Mwijaku anamfikisha demu wake........ mkuu think twice.....
 
Back
Top Bottom