Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Yani kila akitulia anajichungulia kuhakiki😅😅Hiyo inawauma kinouma, au umwambie kibamia haki atajitema mate na kujisonya mpk anaondoka kwenye uso wa dunia 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kila akitulia anajichungulia kuhakiki😅😅Hiyo inawauma kinouma, au umwambie kibamia haki atajitema mate na kujisonya mpk anaondoka kwenye uso wa dunia 🤣🤣🤣
Ndo ukweli kabisaInawezekana si malaya bali bado hajampenda. Mwanamke akikupenda hata kukuangalia tu anakojoa. Waulize akı na Demi au Evelyn Salt au To yeye au Madame B ambao husema ukweli wao wa kueleza. Kama hakupendi hata uzikiri uchi huwezi kumkojoza.
Hatukosi namna ya kufanya mpaka uingie kwwnye mfumoNyoo ulivyo kazania afu ukute mtu ata hajali si utajinyonga kwa kamasi weyee
Uko wapi.....Njoo nikupakie Evelyne
Hivi kufunga ndoa bila kuwa na mahusiano ya kinapenz linaweza kuwa tatizo?Kama kweli limetokea, basi kuna tatizo kubwa.
Chukulia jambo hili kiume zaidi kwa sababu unavyotutaka kukushauri juu ya watoto pekee bila kuunganisha jambo lote, tutakudanganya, haitawezekana, ushauri hautaunganika.
kukushauri ni lazima tuguseguse maeneo yote bro, ukatae ukubali.
Tuanze na historia yake kwanza, kisha tuje kwenye mahusiano yenu.
Yeye ni mzaliwa wa ngapi kwa wazazi wake.
Je alilelewa na wazazi wake wote katika ndoa?
Je kabla ya kumuoa wewe, aliwahi kuishi kinyumba na mwanaume mwingine?
Je ndoa yenu ina muda gani,
Kabla ya kufunga ndoa mlianza mahusiano ya kimapenzi kabla?
Je historia ya mahusiano yenu ulitumia nguvu kubwa, hasa nguvu ya pesa kumpata?
Je kabla ya kutamkiwa hayo, kuliwahi kutokea ugomvi ambao ulitokana na wewe kugundulika kuwa una mchepuko?
Je una mchepuko ambaye unadhani mkeo hajui?
Nitapenda maswali yangu ya dodoso uyajibu ili niweze kushauri sawa sawa.
Lakini kabla haujanijibu ninakupa angalizo:
Kuhusu kulea watoto, hakuhusiani na mapenzi na ndoa, kila jambo linajitegemea.
Chukulia mfano, je angelikufa ghafla hao watoto ungeliwaleaje?
Hilo la kwanza, la pili ni kwamba mapenzi hutoka rohoni na si kutokana na ngono pekee.
Hivyo kutokumridhisha kimapenzi, kunamaanisha muunganiko wa mambo mengi kiujumla wake, kunabeba mustakabali karibia wote wa maisha yenu ya ndoa.
Usije ukamnywea 'mkongo' ukidhani haumlali kiufasaha kama wengi naona wanakushauri humu, utakuwa umejidanganya pakubwa.
Nijibu hayo maswali nipate 'catch word' ya kuunganishia.
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Linaweza kuwa tatizo ama lisiwe tatizo, inategemeana namna mtu anavyolijengea hisia na kiwango cha upendo.Hivi kufunga ndoa bila kuwa na mahusiano ya kinapenz linaweza kuwa tatizo?
Hongera umepata wa kukulinganishwa nae, amempata anayekula dona na nguluka wewe wa chips kuku muda umeisha!!"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Sawa na kuhusu wanaume wako straight to marriage hawana Ile bby hiv Wala vile Wala kuomba Kwa uongo uongo Kwa hiki kizazi chetu inawezekana kuwa sawa au muhimu majaribioLinaweza kuwa tatizo ama lisiwe tatizo, inategemeana namna mtu anavyolijengea hisia na kiwango cha upendo.
Nimemuuliza mtoa mada swali hilo, ili akieleza ukweli tuupime kwa kulinganisha hiyo kauli ya mke wake
Ni kweli sio rahis kumtamkia mumeo huniridhishi angekuwa na hekima angetafuta namna sahihi ya kufanya mambo yaende vizuri kuanzia mlo wa mumewe Hadi mazungumzo Kuonyesha kitu gani anatamani afanyiwe taratibu Hadi mambo yakae sawa haya mambo yanahitaji hekima sanaTumia akili katika kuamua na usitumue hisia.
1.Mwanamke yoyote aliyefunzwa malezi mema hawezi mtamkia Mwanaume neno kama hilo hata kama ni kweli.
2 .Mwanamke akikupenda na kukuridhia ataridhika na wewe hata pasipo ngono,na kuna wengine zile hisia dhidi yake tu anaweza akafika mshindo.
3.Mwanamke huzaa na Mwanaume aliyemkubali,kuna uwekano mkubwa zaidi ya 98% huyo mtoto sio wako.
4.kuwa na ndoa nzuri ni bahati kama zilizobahati zingine,sio kila mtu hapa Duniani atabahatika kuwa na ndoa perfect,ni kama ambavyo sio kila moja hubatika kuwa na hela au viungo vyote-hutokea bahati mbaya isipotokea kwako itatokea kwa yule.ukiendelea kuishi na huyo mwanamke kisa kumuonea huruma mtoto utakuja ujute yamkini ukafariki hata huyo mtoto hajafika mwaka 1.
5.Mpime huyo mtoto DNA ukikuta ni wako tafuta utaratibu wa kumuhudumia,kisha fukuza huyo Mwanamke.
Wa Italiano wanapenda sana hiyo kuangalia live showUsiachane nae mwanawane....wee mwambie tafuta ex wako ambaye alikuwa anakugegeda vizuri mwalike nyumbani mpige threesome wee uangalie ni namna gani jamaa anamridhisha mkeo.
Usilete ego bure...sio kila mtu anazaliwa anajua kugegeda wewe. Mie mwenye napenda mbususu lakini najua sijui kugegeda na wanawake wote niliowagegeda niliwachafua tuu
Inategemea na upendo ulonao Kwa huyo mtu 😀Ila binadam tunatofautiana kwa kweli.
Yaani mim nishtuke na kauli kama iyo kiasi cha kunitia stress kutoka kwa mke wng ama mwanamke yoyote yule niliemkula ! NEVER Labda sio mim 🤣
Mfano hai ndiyo unataka kuingiza Sululu tena unaitwa kwa jina lako ama baba....... Si uliniahidi kuninunulia simu unashangaa mpini umekatika wenyewe, hahahaa huu ni uwenda wazimuMpka anakwambia hivyo basi ujue hutomridhisha kamwe, na kwanza kashakuharibu kisaikolojia na pengine unaweza ukaharibu zaidi ya sasa
Fanya yote, hakuna kuwachanganya mnataka mkojoe nyie tu!!!!? Mnatufanya viuno viume hatupati raha ipaswavyoWanawake hawajawahi kujua wanataka nini.
Ukifanya hizo foreplay unaitwa lamba lamba. Kuna mwenzenu niliona andiko lake akisema hio lamba lamba hataki ye anataka kupelekewa moto haswa.
Ukipeleka moto ipasavyo unasema hata uende round 4 huwezi mfikisha popote.
Mnatuchanganya sana kwa kweli.
Wanawake wa kiafrika kwa malalamiko hamjambo, nyie kila kitu sababu ni mwanaume.Fanya yote, hakuna kuwachanganya mnataka mkojoe nyie tu!!!!? Mnatufanya viuno viume hatupati raha ipaswavyo
Kama ni ivo bas nasubutu kusema sina upendo na sjui nitakuja kupenda lini ingawa nina mke kwa sasa 🤣Inategemea na upendo ulonao Kwa huyo mtu 😀
Mke wako kaongea ukweli na umuelewe hivo.. Asilimia kubwa ya wanawake wanatuvumilia na wanawake wameumbiwa aibu, ukiwa naye ukimuuliza kama anaridhika atakuambia "ndiyo" .Habarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanten