Mke wangu ananitesa
Member
- Jan 14, 2025
- 92
- 172
Wakuu nisiongee Sana naomba mnisaidie hapa maana Kwa mm kupata KAZI imeshindkana basi msaidieni shemeji yenu nipo chini ya miguu yenu wakuu
Uzi tayari
Uzi tayari
Una hatari sana we jamaa. Subiri wahuni wampe kazi mkeoWakuu nisiongee Sana naomba mnisaidie hapa maana Kwa mm kupata KAZI imeshindkana basi msaidieni shemeji yenu nipo chini ya miguu yenu wakuu
Uzi tayari
Wampe tu hawaondok nayoUna hatari sana we jamaa. Subiri wahuni wampe kazi mkeo
Hilo sjal hata kidogo akiwapa magonjwa shaur zaoDah.! Mwanambuzi anauzwa kwa Wanasimba mawindoni.
Duh hayaWampe tu hawaondok nayo
Unawatishia wahuni aisee..Hilo sjal hata kidogo akiwapa magonjwa shaur zao
Picha ya shemeji IPO wap?Wakuu nisiongee Sana naomba mnisaidie hapa maana Kwa mm kupata KAZI imeshindkana basi msaidieni shemeji yenu nipo chini ya miguu yenu wakuu
Uzi tayari
Lete mawasiliano nina kampuni ya clearingWakuu nisiongee Sana naomba mnisaidie hapa maana Kwa mm kupata KAZI imeshindkana basi msaidieni shemeji yenu nipo chini ya miguu yenu wakuu
Uzi tayari
Unampenda kweli huyo mke au ndio unamtoa sadakarawe
Anawakabidhi fisi buchaUna hatari sana we jamaa. Subiri wahuni wampe kazi mkeo
Kazi ya massage?Wakuu nisiongee Sana naomba mnisaidie hapa maana Kwa mm kupata KAZI imeshindkana basi msaidieni shemeji yenu nipo chini ya miguu yenu wakuu
Uzi tayari