Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Sasa nyote mlioana pangu pakavu mkuu?
Picha yake kwanza tumuone. Mshahara 300k per month.
25Mkeo ana umri gani kuna kazi inahitaji binti binti sio mshangazi
mkuu kwanini unaweka picha ya mkeo hapa si vyema...
Fikiria mzabzab ndio anampa mke wa jamaa ajira ya kazi za ndani... Huyo 🤣Una hatari sana we jamaa. Subiri wahuni wampe kazi mkeo
Ofisi yetu bwana mbona wee hela zangu unasema zetu🤣🤣🤣🤣Ofisi yangu ushakua na mamlaka nayo mpk unataka kuweka mtu?? 😹😹
😹😹 Nikikwambia lete pesa tumlipe mchina atoe order fasta unajikanyaga Ila kujisifia ofisi yetu wote uko chap..!!Ofisi yetu bwana mbona wee hela zangu unasema zetu🤣🤣🤣🤣
Tulia mchina tunamfuata bwana wewe acha papara.😹😹 Nikikwambia lete pesa tumlipe mchina atoe order fasta unajikanyaga Ila kujisifia ofisi yetu wote uko chap..!!