Mke wangu anahitaji kazi yoyote ila ndani ya Dar kasoro mama ntilie na bar tu

Huyu sasa atakua mke wako au mke wetu? Ni heri aingie telegram atapata hela kuliko wakamzagamue bure
 
Mtoa mada kama chizi vile lakin anajua anchokifanya, najua vibolo dinda watanasa hapa🤒
 
Ofisi yetu bwana mbona wee hela zangu unasema zetu🤣🤣🤣🤣
😹😹 Nikikwambia lete pesa tumlipe mchina atoe order fasta unajikanyaga Ila kujisifia ofisi yetu wote uko chap..!!
 
😹😹 Nikikwambia lete pesa tumlipe mchina atoe order fasta unajikanyaga Ila kujisifia ofisi yetu wote uko chap..!!
Tulia mchina tunamfuata bwana wewe acha papara.
Alafu leo naomba unipikie wali maini usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…