Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

Bora wa kwako. Mke wa rafiki yangu yeye anamsikiliza na kumfuatilia Oprah Winfrey. Kila anachosema Oprah kwenye shows zake kwa mke ni kama agizo, lazima aamini na kufanya alichozungumza. Oprah akisifia kitabu fulani, kesho unakuta anacho. Akisifia skin product fulani, kesho inatafutwa. Kazi kweli kweli. Akisifia chakula fulani, kesho kinapikwa hata bila ingredients zinazotakiwa. Alimradi vurugu tupu.
 
Mbona Sweet Diva imeisha Maria Da Paz hayupo na ushukuru alimpenda Maria je angampenda mwanae Josianne au Kim si ungekufa 😂🤣

Sasa Kuna kitu kipya baada ya Maria Da Paz Vera na Marina na bby wao Pedro shughuli unayo hapo SAA 1 Kuna home for Summer naona atakuwa anampenda Georgia
 
Duuuh kumbe wapo wengi hivyo 😳😳😳..

Kazi ipo, ila la maana ni kuchomoa battery tu, kuto kununua kifurushi 🤔🤔🤔
 
Duuuh kumbe wapo wengi hivyo 😳😳😳..

Kazi ipo, ila la maana ni kuchomoa battery tu, kuto kununua kifurushi 🤔🤔🤔
Ataenda kwa majirani kama ulivyosema mtafutie mwanasaikolojia aongee nae sio kawaida sema kibongo bongo tunachukulia poa ndo yanakuja kutokea ya double personality.
 
Na wewe ishi kama Othman. Adabu atapata.
 
hadi wewe uliyeandika huu uzi ni mtoto.. acheni utoto
 
hamna jipya apo mkuu.

ayo ndo matokeo ya kuoa kwa kuangalia saizi ya taco.

vumilia na uache kulialia kama junior
 
hamna jipya apo mkuu.

ayo ndo matokeo ya kuoa kwa kuangalia saizi ya taco.

vumilia na uache kulialia kama junior
Hana taco kubwa ki hivyo sema tu jamaa anafahamu alichopendea mwenyewe..😄😄😄
 
Acha kumlaumu mkeo inaonekana hizo tamthilia mnaangaliaga wote
 
Mtafutie director mshirikishe Mussa Banzi na Tuesday Kihangala wa jumba la dhahabu
 
Una mke kichwani hazimo jipange sana utafte chombo ingine huyo kama hujazaa nae usimzalishe watoto utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…