Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Na wewe kuwa mume wa Maria de poz, nakuhakikishia utaishi naye vyema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri ila naona dalili ya mwanamke kuondoka..yaani hapo ni kwako au kwake? unanyanyasika kwako na wewe ni mwanaume au?
wewe ndo unatakiwa kupanga nini cha kufanya nyumbani kwako na si mgeni, mkeo hapo ni mgeni, anatakiwa afuate unachotaka
😳😳😳😳...Duuuh kumbe mpo wengi...🤒🤒[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati niko chuo, nilikua napenda Korean drama. Nikaanza kuwageza ongea yao mpaka wanavyo salimia.
Saiv napenda waingereza wanavyoongea kupitia series zao na sasa naona accent yangu inabadilika kidgokidgo
You feed your brain by what you watch..Ukizoea kuangalia waswahili wanaosutana na wewe ni rahisi ku adopt that behaviour.
Huna lolote Bali umejisikia tu kuja kutuhadithia hiyo tamthilia, haipendezi mwanaume kuangalia hizo tamthiliaNi muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....
Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi...
Nimejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwezi ninaenda dukani kwa mangi na kununua mahitaji yote muhimu ya nyumbani kwa mwezi unaofuatia, nazungumzia chakula na vitu vingine vidogo vidogo pamoja na kumpatia pesa za matumizi mwezi mzima.
Ila tatizo limeanzia pale ambapo mwanamke anapojaribu kuishi maisha ya kufuatilia tamthilia za mapenzi haswa za hawa Azam.
Yaani kuna tamthilia ya Azam TV (siifahamu jina) nahisi ni ya ki-spania, kuna mdada anaitwa Maria de pazi yaani yale maisha anayoishi ndiyo mke wangu anaishi kuanzia kazi hadi hisia kwanini.
Huyo Maria de poz alianzisha biashara ya kuuza keki, maandazi, skonzi na vitafunwa vingine mke wangu akaiga (hilo siyo tatizo) ila shida kila kitu anachotumia ni cha bajeti ya ndani ya nyumba.
Siku huyo Maria de pozi akiumizwa huko kwenye ma-tamthilia tambua na yeye kuwa na huzuni siku nzima yaani ole wako umuagize kitu utasikia "Si uchukue mwenyewe nyie wanaume ni wale wale tu.
Siyo kwa tamthilia moja bali hujirudia mara kwa mara siyo kwamba sipendi mke wangu kufanya kazi ila kila ninayomuamzishia inakufa zaidi ya tatu hadi duka la nafaka nimemueleza akae atulie wakati natafakari ni ipi inamfaa ila naona ni yale yale.
Siku tamthilia wakija na biashara hii yeye anahamia huko ikibadilishwa na yeye anabadilisha wakikasilikiana na yeye ananikasilikia nina mashaka tunakoelekea nitapoteza mke 😳😳😳
Wazo langu ni kuacha kulipia kifurushi ila nahofia kwenda kwa majirani maana anaweza kusimulia huyu na hawezi kukosa ata siku moja mimi mwenyewe huwa ananipatia simulizi na nikaja kugundua shida ni huyo de pozi....
Msaada jamani..😥😥😥😥😥."
Nawasilisha...........
yawezekana sina lolote ila nilisimuliwa huwa sina muda wa kuangalia tamthilia na kufuatilia series wengine mnaita season ila huyo maria de poz nilipata kumuona..Huna lolote Bali umejisikia tu kuja kutuhadithia hiyo tamthilia, haipendezi mwanaume kuangalia hizo tamthilia
Hii ni suruhu nzuri ila kuna kuhamia kwa jirani yeye anayo...Hio sio solution, azam tv wana program zinazoharibu wadada wa kazi na wake zetu hata watoto, sijui wanafanya nn kuwapa hizo addiction, ilifikia pahali nyumbani kwangu siwezi shika remote kuanzia saa 1 jion hadi saa4 usiku, solution piga bei nunua dstv wanaprograms chache zisizo leta addiction, mie nna amani tele sasa
Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....
Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi...
Nimejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwezi ninaenda dukani kwa mangi na kununua mahitaji yote muhimu ya nyumbani kwa mwezi unaofuatia, nazungumzia chakula na vitu vingine vidogo vidogo pamoja na kumpatia pesa za matumizi mwezi mzima.
Ila tatizo limeanzia pale ambapo mwanamke anapojaribu kuishi maisha ya kufuatilia tamthilia za mapenzi haswa za hawa Azam.
Yaani kuna tamthilia ya Azam TV (siifahamu jina) nahisi ni ya ki-spania, kuna mdada anaitwa Maria de pazi yaani yale maisha anayoishi ndiyo mke wangu anaishi kuanzia kazi hadi hisia kwanini.
Huyo Maria de poz alianzisha biashara ya kuuza keki, maandazi, skonzi na vitafunwa vingine mke wangu akaiga (hilo siyo tatizo) ila shida kila kitu anachotumia ni cha bajeti ya ndani ya nyumba.
Siku huyo Maria de pozi akiumizwa huko kwenye ma-tamthilia tambua na yeye kuwa na huzuni siku nzima yaani ole wako umuagize kitu utasikia "Si uchukue mwenyewe nyie wanaume ni wale wale tu.
Siyo kwa tamthilia moja bali hujirudia mara kwa mara siyo kwamba sipendi mke wangu kufanya kazi ila kila ninayomuamzishia inakufa zaidi ya tatu hadi duka la nafaka nimemueleza akae atulie wakati natafakari ni ipi inamfaa ila naona ni yale yale.
Siku tamthilia wakija na biashara hii yeye anahamia huko ikibadilishwa na yeye anabadilisha wakikasilikiana na yeye ananikasilikia nina mashaka tunakoelekea nitapoteza mke [emoji15][emoji15][emoji15]
Wazo langu ni kuacha kulipia kifurushi ila nahofia kwenda kwa majirani maana anaweza kusimulia huyu na hawezi kukosa ata siku moja mimi mwenyewe huwa ananipatia simulizi na nikaja kugundua shida ni huyo de pozi....
Msaada jamani..[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]."
Nawasilisha...........
Tengenezeni movieNi muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....

HahahahahaNi muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....
Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi...
Nimejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwezi ninaenda dukani kwa mangi na kununua mahitaji yote muhimu ya nyumbani kwa mwezi unaofuatia, nazungumzia chakula na vitu vingine vidogo vidogo pamoja na kumpatia pesa za matumizi mwezi mzima.
Ila tatizo limeanzia pale ambapo mwanamke anapojaribu kuishi maisha ya kufuatilia tamthilia za mapenzi haswa za hawa Azam.
Yaani kuna tamthilia ya Azam TV (siifahamu jina) nahisi ni ya ki-spania, kuna mdada anaitwa Maria de pazi yaani yale maisha anayoishi ndiyo mke wangu anaishi kuanzia kazi hadi hisia kwanini.
Huyo Maria de poz alianzisha biashara ya kuuza keki, maandazi, skonzi na vitafunwa vingine mke wangu akaiga (hilo siyo tatizo) ila shida kila kitu anachotumia ni cha bajeti ya ndani ya nyumba.
Siku huyo Maria de pozi akiumizwa huko kwenye ma-tamthilia tambua na yeye kuwa na huzuni siku nzima yaani ole wako umuagize kitu utasikia "Si uchukue mwenyewe nyie wanaume ni wale wale tu.
Siyo kwa tamthilia moja bali hujirudia mara kwa mara siyo kwamba sipendi mke wangu kufanya kazi ila kila ninayomuamzishia inakufa zaidi ya tatu hadi duka la nafaka nimemueleza akae atulie wakati natafakari ni ipi inamfaa ila naona ni yale yale.
Siku tamthilia wakija na biashara hii yeye anahamia huko ikibadilishwa na yeye anabadilisha wakikasilikiana na yeye ananikasilikia nina mashaka tunakoelekea nitapoteza mke 😳😳😳
Wazo langu ni kuacha kulipia kifurushi ila nahofia kwenda kwa majirani maana anaweza kusimulia huyu na hawezi kukosa ata siku moja mimi mwenyewe huwa ananipatia simulizi na nikaja kugundua shida ni huyo de pozi....
Msaada jamani..😥😥😥😥😥."
Nawasilisha...........
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hiyo dp ni ya kitambo sana mjuba ila ni mle mle tuNdo maana umeweka dp ya chui
LoooooWewe unacheka mwenzako anateswa na mapenzi 😳😳😄😄
Fukuza Ng'ombe Hiyo
Au Tafuta Mchepuko, utanishukuru