Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Aiseeee nimecheka mnoooo🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke yyt anayeutumia sana uchi wake kwa lengo la kupata maslahi huyo ni CHUDDACHUDDA ni nini eti...[emoji28][emoji28]?
yamekukuta nini? Broo ndoa c maneno ya biblia ndoa ni israel na palestina... Usiish na mwanamke kama ccm na kofia Nitakuelewesha nikipendaPunguzeni kuwazia ngono tu kutetea ujinga wa maisha ya mwanamke, kwani yeye ni roboti tu anaeendeshwa kwa rimoti ya ngono. Huu ujinga nauchukia sana maishani, ndio maana sanyingine mtu anaona mahusiano au ndoa ni mzigo, Maisha ni magumu nawewe badala ya kusaidiana myaendeshe vizuri nawewe unajiweka kuwa moja ya magumu ya maisha. Thats stupidity of life to its highest level.

yaani hapo ni kwako au kwake? unanyanyasika kwako na wewe ni mwanaume au?Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....
Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi...
Nimejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwezi ninaenda dukani kwa mangi na kununua mahitaji yote muhimu ya nyumbani kwa mwezi unaofuatia, nazungumzia chakula na vitu vingine vidogo vidogo pamoja na kumpatia pesa za matumizi mwezi mzima.
Ila tatizo limeanzia pale ambapo mwanamke anapojaribu kuishi maisha ya kufuatilia tamthilia za mapenzi haswa za hawa Azam.
Yaani kuna tamthilia ya Azam TV (siifahamu jina) nahisi ni ya ki-spania, kuna mdada anaitwa Maria de pazi yaani yale maisha anayoishi ndiyo mke wangu anaishi kuanzia kazi hadi hisia kwanini.
Huyo Maria de poz alianzisha biashara ya kuuza keki, maandazi, skonzi na vitafunwa vingine mke wangu akaiga (hilo siyo tatizo) ila shida kila kitu anachotumia ni cha bajeti ya ndani ya nyumba.
Siku huyo Maria de pozi akiumizwa huko kwenye ma-tamthilia tambua na yeye kuwa na huzuni siku nzima yaani ole wako umuagize kitu utasikia "Si uchukue mwenyewe nyie wanaume ni wale wale tu.
Siyo kwa tamthilia moja bali hujirudia mara kwa mara siyo kwamba sipendi mke wangu kufanya kazi ila kila ninayomuamzishia inakufa zaidi ya tatu hadi duka la nafaka nimemueleza akae atulie wakati natafakari ni ipi inamfaa ila naona ni yale yale.
Siku tamthilia wakija na biashara hii yeye anahamia huko ikibadilishwa na yeye anabadilisha wakikasilikiana na yeye ananikasilikia nina mashaka tunakoelekea nitapoteza mke 😳😳😳
Wazo langu ni kuacha kulipia kifurushi ila nahofia kwenda kwa majirani maana anaweza kusimulia huyu na hawezi kukosa ata siku moja mimi mwenyewe huwa ananipatia simulizi na nikaja kugundua shida ni huyo de pozi....
Msaada jamani..😥😥😥😥😥."
Nawasilisha...........
Oa mwingine mkuu ikiwa bado mapema. Hapo una kiazi sio mke. Mambo ya tamthilia yawe maamuzi ya maisha yako na yeye si utaingizwa shimoni siku mhusika anaye mpenda akicheat na yeye ata cheat pia. Huyo mwanamke fikra zake ni finyu sana kwa kweliNi muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....
Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi...
Nimejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwezi ninaenda dukani kwa mangi na kununua mahitaji yote muhimu ya nyumbani kwa mwezi unaofuatia, nazungumzia chakula na vitu vingine vidogo vidogo pamoja na kumpatia pesa za matumizi mwezi mzima.
Ila tatizo limeanzia pale ambapo mwanamke anapojaribu kuishi maisha ya kufuatilia tamthilia za mapenzi haswa za hawa Azam.
Yaani kuna tamthilia ya Azam TV (siifahamu jina) nahisi ni ya ki-spania, kuna mdada anaitwa Maria de pazi yaani yale maisha anayoishi ndiyo mke wangu anaishi kuanzia kazi hadi hisia kwanini.
Huyo Maria de poz alianzisha biashara ya kuuza keki, maandazi, skonzi na vitafunwa vingine mke wangu akaiga (hilo siyo tatizo) ila shida kila kitu anachotumia ni cha bajeti ya ndani ya nyumba.
Siku huyo Maria de pozi akiumizwa huko kwenye ma-tamthilia tambua na yeye kuwa na huzuni siku nzima yaani ole wako umuagize kitu utasikia "Si uchukue mwenyewe nyie wanaume ni wale wale tu.
Siyo kwa tamthilia moja bali hujirudia mara kwa mara siyo kwamba sipendi mke wangu kufanya kazi ila kila ninayomuamzishia inakufa zaidi ya tatu hadi duka la nafaka nimemueleza akae atulie wakati natafakari ni ipi inamfaa ila naona ni yale yale.
Siku tamthilia wakija na biashara hii yeye anahamia huko ikibadilishwa na yeye anabadilisha wakikasilikiana na yeye ananikasilikia nina mashaka tunakoelekea nitapoteza mke 😳😳😳
Wazo langu ni kuacha kulipia kifurushi ila nahofia kwenda kwa majirani maana anaweza kusimulia huyu na hawezi kukosa ata siku moja mimi mwenyewe huwa ananipatia simulizi na nikaja kugundua shida ni huyo de pozi....
Msaada jamani..😥😥😥😥😥."
Nawasilisha...........
Hio sio solution, azam tv wana program zinazoharibu wadada wa kazi na wake zetu hata watoto, sijui wanafanya nn kuwapa hizo addiction, ilifikia pahali nyumbani kwangu siwezi shika remote kuanzia saa 1 jion hadi saa4 usiku, solution piga bei nunua dstv wanaprograms chache zisizo leta addiction, mie nna amani tele sasaMimi nimemshauri asiunge kifurushi chochote wabakie na local channels wawe wanaoangalia channel za bongo na taarifa za habari.
Ila sijui kama atavumilia kabla ya kuchukua pesa ya matumizi na kuunga bundle la mwezi 🤔🤔🤔
Na sisi tunaopenda series za mazombi yuchukue tabia zao? Kujifunza kwa unachokiona ni sehemu ya ugonjwa wa akili, mtu mzima unae fikilia huwezi bebwa na kile unachotizama luningani, tazama luninga kama starehe tu baada ya hapo kafanye maisha yako ya kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati niko chuo, nilikua napenda Korean drama. Nikaanza kuwageza ongea yao mpaka wanavyo salimia.
Saiv napenda waingereza wanavyoongea kupitia series zao na sasa naona accent yangu inabadilika kidgokidgo
You feed your brain by what you watch..Ukizoea kuangalia waswahili wanaosutana na wewe ni rahisi ku adopt that behaviour.
Fukuza Ng'ombe Hiyo
Au Tafuta Mchepuko, utanishukuru
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo ndio TATIZO la kuoa mwanamke ambae kwao hakuna TV. Nawashauri vijana kuoa mwanamke ambae kwao Kuna tv.