Hapo umenisaidia mkuu. Thanks a millionNilifikiri unasema ati anakunya bila kutawadha kumbe ni kutoa pumzi tu? Hujui asipo jamba atavimbiwa? Unampenda kweli huyo mkeo?
Kama ana sura nzuri, mashine yake saafi, tena ina rutuba kwani keshakupa mtoii una shida gani na ushuzi wake? Kama unampenda, akitoa tena hiyo harufu mbele za watu msifie sana kuwa ni kama harufu ya perfume ya bint el sudan.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atachukia mtu kutoa pumzi.
Mpende mkeo weyee
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Ushauri mzuri mkuu, nimeupendahayo ndio mambo ya KUVUMILIANA ktk ndoa so usimharibie pozi mkeo aisee! muache ajiachie kwa raha zake kuna wengine hawapati huo ushuzi sasa km yeye anapata muache, mpe uhuru, sio maradhi hayo kaka..ni km kupiga miyayo tu...ok?
Ushauri wa bure ,anywe nusu kijiko cha asali kila baada ya kumaliza kula kabla ya kunywa maji.
huyu itakuwa mtumia na kipenzi cha mtandao wa tigo hongera kwa kumiliki mtandao wa tigoNdugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Ahsanteh mkuu kwa ushauri mzurilabda ana vidonda vya tumbo..kama tumbo lake litajaa gesi ni lazima hali hiyo itokee hasa kwa vyakula vyetu vya kibongobongo ni vyema mkaenda hospitali kujua tatizo liko wapi..?...mtunzie heshima mkeo jamani....
Lakini mbona kwa muda mfupi sana na kwa tatizo dogo sana umeshasahau kiapo chenu mlichokula cha kuvumiliana kwa shida na raha??? Ulipomuoa hakuwa hivyo, kwa nini usiamini kuwa hilo ni tatizo na unapaswa kulivumilia???
Mwisho, mke mpe heshima yake bana!! Asipojiachia kwako akajiachie kwa nani tena, ulipaswa kumtania na kucheka pamoja akijamba badala ya kumfokea na kununiana bana!!
Izo ni siri ambazo azifai ata kusimlia jaman unaomba ushauri kwa kumuanika mkeo kabisa! Duh
Kuvunjika kwa ndoa kunaanzia mbali sana mkuu. Tunashukuru kuna MMU JF tunaweza kusaidiana bila kufahamika na ukaokoa ndoa.Izo ni siri ambazo azifai ata kusimlia jaman unaomba ushauri kwa kumuanika mkeo kabisa! Duh