Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Wewe una bahati sana. Mkeo anakupenda mpaka hana cha kuficha mbele yako. Amejiachia kwako kwa asilimia mia. Ukiona mkeo anakuficha hata kijambo, basi ujue anakuficha mengi.
hahahah daah mkuu umenifurahisha
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

Kaka mbona hiyo ni ladha kwenye mapenzi tu. Yeah.
Ipotezee tu. Wenzio wanaipenda hiyo ladha. Shauri yako. Binafsi nafurahi sana Kama mwenzangu anapata kupumuawalau mbele yangu. Masista duu wanajistukia sana. Huyo wako wewe ndo mwenyewe. Usikonde noma
 
Usitudanganye kuwa ni mkeo wakati ni wewe mwenyewe unajifanya mkeo ili utusikie tutasemaje. Muheshimu mkeo.
 
Nilifikiri unasema ati anakunya bila kutawadha kumbe ni kutoa pumzi tu? Hujui asipo jamba atavimbiwa? Unampenda kweli huyo mkeo?
Kama ana sura nzuri, mashine yake saafi, tena ina rutuba kwani keshakupa mtoii una shida gani na ushuzi wake? Kama unampenda, akitoa tena hiyo harufu mbele za watu msifie sana kuwa ni kama harufu ya perfume ya bint el sudan.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atachukia mtu kutoa pumzi.
Mpende mkeo weyee

eeee mwambie huyu. Kujambiwa na mkeo nayo kero!?
 
Ni dalili za kwamba anataka utumie min kabang sema ww mzito kuelewa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
labda ana vidonda vya tumbo..kama tumbo lake litajaa gesi ni lazima hali hiyo itokee hasa kwa vyakula vyetu vya kibongobongo ni vyema mkaenda hospitali kujua tatizo liko wapi..?...mtunzie heshima mkeo jamani....
mmmmh! we usilete hayo mabo ya gesi hum jamvini, muhongo anaweza fanya uwekezaji kwenye tumbo la mke wa mtu
 
haswaaaaaa la sivyo
tutadhalilishwa mpaka tukome!!
Na mimi nitaendelea kuwapigania mpaka nione mwisho wa hao wadhalilishaji kinamama. Haiwezekani raha tupewe sirini halafu kwa sababu ya upungufu wa akili tu uje usimame njia panda utoe mapungufu ya mwenzio, je na huyo mwanamke wake angetoa ya kwake angefurahia!! Wanaboaje...
 
Dah! Kwa ss mabasha ushuzi ni mali, ka vp mteme huyo demu aje kwangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom