kama ushuzi ni kama kupiga miyayo, kauachie kwenye interview alafu uje uniambie..!!!
hahahah daah mkuu umenifurahishaWewe una bahati sana. Mkeo anakupenda mpaka hana cha kuficha mbele yako. Amejiachia kwako kwa asilimia mia. Ukiona mkeo anakuficha hata kijambo, basi ujue anakuficha mengi.
hahaha daaah jf rahaHahahaa haaaa uwiii nimecheka
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
hahahaaa!!una maanisha anatumiaPengine anamjambia hivyo kwa kuwa ni yeye ndiye aliyemharibu.
Ndiyo maana yake mrembo.hahahaaa!!una maanisha anatumia
naniliuuu ya mwenzie lolz!!
Ndiyo maana yake mrembo.
hahahaaa!!una maanisha anatumia
naniliuuu ya mwenzie lolz!!
Poa mtu wangu
wewe demuu unamla sana tigo ndo sababu..
Watu wengine..hadi mtamkiweeee....anataka Mini Kabang Huyooo
Yakhe kama ulikuwepo.Mambo ya kabang nini?
hehehee!!kamharibu mwenzieNdiyo maana yake mrembo.
Hapo sasa, inabidi wakina dada kabla ya kumvulia mwanaume nguo yako ya mwisho tumia ujanja kupima akili yake kwanza.hehehee!!kamharibu mwenzie
badala avumilie mizinga
anakuja kumsema huku c hatari hii!!
Poa, hata hayo ni maoniUsitudanganye kuwa ni mkeo wakati ni wewe mwenyewe unajifanya mkeo ili utusikie tutasemaje. Muheshimu mkeo.
Nilifikiri unasema ati anakunya bila kutawadha kumbe ni kutoa pumzi tu? Hujui asipo jamba atavimbiwa? Unampenda kweli huyo mkeo?
Kama ana sura nzuri, mashine yake saafi, tena ina rutuba kwani keshakupa mtoii una shida gani na ushuzi wake? Kama unampenda, akitoa tena hiyo harufu mbele za watu msifie sana kuwa ni kama harufu ya perfume ya bint el sudan.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atachukia mtu kutoa pumzi.
Mpende mkeo weyee
mmmmh! we usilete hayo mabo ya gesi hum jamvini, muhongo anaweza fanya uwekezaji kwenye tumbo la mke wa mtulabda ana vidonda vya tumbo..kama tumbo lake litajaa gesi ni lazima hali hiyo itokee hasa kwa vyakula vyetu vya kibongobongo ni vyema mkaenda hospitali kujua tatizo liko wapi..?...mtunzie heshima mkeo jamani....
haswaaaaaa la sivyoHapo sasa, inabidi wakina dada kabla ya kumvulia mwanaume nguo yako ya mwisho tumia ujanja kupima akili yake kwanza.
Na mimi nitaendelea kuwapigania mpaka nione mwisho wa hao wadhalilishaji kinamama. Haiwezekani raha tupewe sirini halafu kwa sababu ya upungufu wa akili tu uje usimame njia panda utoe mapungufu ya mwenzio, je na huyo mwanamke wake angetoa ya kwake angefurahia!! Wanaboaje...haswaaaaaa la sivyo
tutadhalilishwa mpaka tukome!!
Ni mali? Kivipi mkuuDah! Kwa ss mabasha ushuzi ni mali, ka vp mteme huyo demu aje kwangu.