Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Wewe ndo umemwalibu huko nyuma anapumua ovyo ovyo unalalamika tulia uvune ulichokipanda
 
lakini Mkuu, inabidi na wewe tukuulize maswali pia? Haumli TIGO? Isije ikawa wewe unamla TIGO halafu unajifanya kulalamika na mambo anayokufanyia, kumbe Nut umezifungua mwenyewe.
 

usijizungushe hapa we jifungue tu kwamba ni mtumiaji hodari wa 0715......
 
duh mkuu mbona umetoa siri za ndani, kweli kakukera aisee
 
Shukuru anajamba mbele yako ujue hakuna analokuficha.kuna mtu hajawahi kusikia kijambo cha mpenzi wake ujue anakuficha mengi
 



kuwa na kawaida ya kumpa Pole kila akijamba.
 
Mwambie awe anakula matunda kwa wingi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuna wengine wanapenda kweli hizo harufu za ushuzi!kama umemchoka mbinafsishe tu!
 
Haya ndio matatizo ya kuoa wakati wa balehe kabla akili haijakomaa......unawezaje kumdhalilisha mkeo unayempenda kutoka moyoni kwa kiwango hichi...!! Pengine mkeo ana maradhi yanamsumbua badala ya kumtafutia ufumbuzi unakuja kumuanika huku ndio ili iweje.....kwani wewe hujambi mkuu.....?? Inavyoonekana hili swala mtaa mzima umeshaliweka wazi mkeo akipita watu wana mchora tu......Huu ujumbe uwafikie wakina dada....sio kila anayevaa ni mwanaume wengine ni wa kiume tu....
 

Hahaha au anataka ajambe kimya kimya ashtukue harufu tu....eventhough akijamba kimya kimya na wapo wawili si ni yaleyale tu...
 
Ulijari wa mwanaume hauishii kwenye kusimamisha dushe kama nguzo ya umeme tu......bali pia kwenye masuala kama haya inatakiwa mwanaume uwe mvumilivu.....na ndio maana mwanaume akapewa kifua kipana kuliko mwanamke....na wakati mwingine mwanamke anapokuwa katika wakati mgumu huwa anakimbila kifuani kwa mumewe kwa ndio sehemu pekee ya faraja kwake...
 
Haya sisi wazazi tuko kwenye kikao cha usuluhishi maana mkeo hajakubali kuipokea hiyo talaka,, sisi wazazi wenu wa pande mbili tunakupa fursa useme tatizo lililopelekea mtaliki mkeo ,, utaanzaje? utasema mke wangu mzuri anaheshima, anajali familia ila ANAJAMBA!!!! tumia akili tu mkwe ndo maana majumba yana kuta nne kuna mengi yanatokea ndani ya kuta hizo... uislam unatutaka kuwapenda na kuwahifadhi aibu za wanandani wetu... umefanya dhambi ku expose mkeo ,,, humu kuna maharamia wata kuharck mpaka wajue unaishi wapi na wamuone huyo mkeo.. maana wengine mashuzi ndo harufu waipendayo na hasa panapotokea hiyo harufu ,,, huoni umejiletea shida?
 
Ww unavisa ww nunua air fresh akijamba puliza naww airfresh yako mnaenda sawa tena ikiwezekana nunua lile lenye ujazo mwingi akijambaa atajua unakereka na ataachaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…