mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 738
- 261
kwani naweye un'jambaaaaa???
Hi kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani naweye un'jambaaaaa???
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Halafu unajifunika nae shuka moja ndo unauachia ili harufu imuingie vizuri.......lol
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Lakini mbona kwa muda mfupi sana na kwa tatizo dogo sana umeshasahau kiapo chenu mlichokula cha kuvumiliana kwa shida na raha??? Ulipomuoa hakuwa hivyo, kwa nini usiamini kuwa hilo ni tatizo na unapaswa kulivumilia???
Mwisho, mke mpe heshima yake bana!! Asipojiachia kwako akajiachie kwa nani tena, ulipaswa kumtania na kucheka pamoja akijamba badala ya kumfokea na kununiana bana!!
Makubwa!!!!Kama huingii kwenye sewage system basi kuna mwenzio anafanza hivyo huko nje.