Mke wangu analalamika sana kuchoka nikitaka Tendo la Ndoa

Mke wangu analalamika sana kuchoka nikitaka Tendo la Ndoa

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wakuu naomba kujua,

Mke wangu hana ushirikiano kabisa kwenye tendo la ndoa na pia mara nyingi hana uhitaji nalo yaaani mimi ndio muhitaji na ukitaka lazima awake sababu mara kachoka au hayuko sawa, na hata akikupa analalamika kuumia anadai umalize.

Je, kuna shida au anachepuka nje?
 
Kuna kitu hakipo sawa, ukaribu wenu kihisia umepungua. Ongea naye vizuri au chunguza shida iliyopo na muitatue.
 
Ukiona hivyo huyo hakuwa ubavu wako ila ulilazimishia kwa sababu ya sura na umbo. Mnafeli sana, angepata ubavu wake wakati wa kuhitaji wote wanakuwa wanahitaji, na wakati wa kutohitaji wote mnakuwa hamuhitaji, ndoa yangu ipo hivyo.

Sasa vumilia, Ukifa atapata mtu wake sahihi wa kumfikisha kileleni
 
Huyo anatakiwa aone umehamia chama kingine wanawake bila kuona kuna mtu mwingine wa upinzani huwa ni shida sana ...

Wanajisahau sana kaka acha kuwa mtumwa funguka tafuta demu mkali halafu ajue unatoka naye uone atakavyo hahah
 
1.Mpeleke hospital mkapime magonjwa kama kina Fangus,PID,STDs
2.Jitahidini katika maandalizi
3.Punguzeni kusex,peaneni nafasi ya kumisiana....sio kila siku lazima mfanye
Kumbe upo!
 
Unakosa mchepuko ujue unatuaibisha sana .mwanaume tangulini ukawa na mwanamke mmoja


Mabaharia 1:2
 
namba 1 sawa, hizo nyingine hapana.
Mandalizi huku unasdaiwa kodi ya nyumba, watoto shule, umeme na hela ya taka?

Nilizotaja ni possible solutions kwa upande wa case yake,atajua yeye kipi afanye
 
Chunguza kwa umakini sana hasa kama hakuwa nayo hii tabia mwanzo.
 
Back
Top Bottom