Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
acha hizo, hamjui mnatuumiza lakini?Unakosa mchepuko ujue unatuaibisha sana .mwanaume tangulini ukawa na mwanamke mmoja
Mabaharia 1:2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha hizo, hamjui mnatuumiza lakini?Unakosa mchepuko ujue unatuaibisha sana .mwanaume tangulini ukawa na mwanamke mmoja
Mabaharia 1:2
NipoKumbe upo!
Namba 3 aifanyie kazi mwezi huu.1.Mpeleke hospital mkapime magonjwa kama kina Fangus,PID,STDs
2.Jitahidini katika maandalizi
3.Punguzeni kusex,peaneni nafasi ya kumisiana....sio kila siku lazima mfanye
Mtuvumilie we are polygamist in natureacha hizo, hamjui mnatuumiza lakini?
Aaaah nimekubali, nadhani akiyafanyia kazi yote haya atapata majibu kabisa, big YESPole sana kamanda, kwa hakika hii tabia ipo baadhi ni kwa sababu anachepuka na ana options 3+ tofauti na wewe, kama michepuko imekuzidi matumizi, au wana usafiri na wewe huna, umeyumba kiuchumi, angalia kati yenu nani anabaki sana sebuleni wakati mwingine kalala, na wakati huo simu anayo?,na je ana kawaida kulala sebuleni baada ya wewe kulala chumbani na kuja chumbani 2+ hours, na je huwa anamstua mwenzake? mnalala na mtoto mdogo chumbani au ninyi tu na je ananyonyesha au? je ana record yoyote ya kuwasiliana na ma ex wake na je ni sehemu ya ugomvi baina yenu? kwa mtazamo nani mwenye upendo zaidi kati yenu? hukumpata kwa shobo za kifedha na kisharo? je una uhuru na simu yake au ni taasisi huru yenye password? Mwanamke mchepukaji ukimsusa shoo hababaiki na atapiga shoo huko kama kaolewa na atajibrand hajaolewa, na atakuwa na options za kutosha. Narudia tena pole sana sana, na kisingizio cha kuhusu hisia kisa ugomvi wa nyuma hakitakosa, maandalizi kwa mchepukaji sio ishu, je una udhaifu wa kususa mkigombana? je unazifahamu style ambazo ni mzuka kwake? Je anakawaida ya kutoka home bila ruhusa na taarifa na asiseme Kama alitoka? je unadhani tangu kitambo ana aidha kiburi, jeuri, dharau? anachangia kuingiza kipato chochote? Nutritional eating habits zake zikoje? ni mwepesi wa kuoga at least twice a day?, ana kawaida ya kulala mchana au yeye kutwa tv? Na je kwa nyakati hizi kiuchumi kamanda hujayumba? taswira juu ya uaminifu wa mkeo tangu uchumba hadi Leo ikoje? una cases ngapi za kuhisi na za uhakika juu ya kukosa uaminifu? mshakuwa na ugomvi au kushtakiana popote na suluhu zimekuwa za taswira gani? Nguzo yenu katika Imani ikoje katika kumwabudu Mungu? Verylow.Low.midlow.average.midhigh.high.very high
Hili gazeti si kwa ajili yako bali mimi, wewe, wengineo, na jamii kwa ujumla kwa maana wake na waume viraka ni wengi kuliko walio ubavu kama ipasavyo katika Mungu.
Well saidMpe muda, usimuombe gemu kwa miezi kadhaa, tafuta kiburudisho nje cup, yeee mwenyewe ataomba poo
Wakuu naomba kujua,
Mke wangu hana ushirikiano kabisa kwenye tendo la ndoa na pia mara nyingi hana uhitaji nalo yaaani mimi ndio muhitaji na ukitaka lazima awake sababu mara kachoka au hayuko sawa, na hata akikupa analalamika kuumia anadai umalize.
Je, kuna shida au anachepuka nje?