Pole sana kamanda, kwa hakika hii tabia ipo baadhi ni kwa sababu anachepuka na ana options 3+ tofauti na wewe, kama michepuko imekuzidi matumizi, au wana usafiri na wewe huna, umeyumba kiuchumi, angalia kati yenu nani anabaki sana sebuleni wakati mwingine kalala, na wakati huo simu anayo?,na je ana kawaida kulala sebuleni baada ya wewe kulala chumbani na kuja chumbani 2+ hours, na je huwa anamstua mwenzake? mnalala na mtoto mdogo chumbani au ninyi tu na je ananyonyesha au? je ana record yoyote ya kuwasiliana na ma ex wake na je ni sehemu ya ugomvi baina yenu? kwa mtazamo nani mwenye upendo zaidi kati yenu? hukumpata kwa shobo za kifedha na kisharo? je una uhuru na simu yake au ni taasisi huru yenye password? Mwanamke mchepukaji ukimsusa shoo hababaiki na atapiga shoo huko kama kaolewa na atajibrand hajaolewa, na atakuwa na options za kutosha. Narudia tena pole sana sana, na kisingizio cha kuhusu hisia kisa ugomvi wa nyuma hakitakosa, maandalizi kwa mchepukaji sio ishu, je una udhaifu wa kususa mkigombana? je unazifahamu style ambazo ni mzuka kwake? Je anakawaida ya kutoka home bila ruhusa na taarifa na asiseme Kama alitoka? je unadhani tangu kitambo ana aidha kiburi, jeuri, dharau? anachangia kuingiza kipato chochote? Nutritional eating habits zake zikoje? ni mwepesi wa kuoga at least twice a day?, ana kawaida ya kulala mchana au yeye kutwa tv? Na je kwa nyakati hizi kiuchumi kamanda hujayumba? taswira juu ya uaminifu wa mkeo tangu uchumba hadi Leo ikoje? una cases ngapi za kuhisi na za uhakika juu ya kukosa uaminifu? mshakuwa na ugomvi au kushtakiana popote na suluhu zimekuwa za taswira gani? Nguzo yenu katika Imani ikoje katika kumwabudu Mungu? Verylow.Low.midlow.average.midhigh.high.very high
Hili gazeti si kwa ajili yako bali mimi, wewe, wengineo, na jamii kwa ujumla kwa maana wake na waume viraka ni wengi kuliko walio ubavu kama ipasavyo katika Mungu.