Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Mtoto wa miaka minane hafai kukaa boarding.mambo ya binadamu baadhi wanaoitwa wanawake yanatia hasira na kukaraisha sana
mkuu cha kufanya mpeleke huyo mtoto boarding school na huko shuleni uwaweke wazi madhila akiyopitia huyo mtoto ili waweze kumrudisha katika hali ya kawaida ya kujiona kama watoto wengine, wakati wa likizo aje kwako muda ambao upo upo home kama hautakuwa na huo muda awe anakaa kwa ndugu zako ambapo una uhakika hatateswa.
hao ndugu wa mwanamke wote fukuza warudi kwao, na yeye akitaka kuondoka mwambie aondoke.
nimeshuhudia mtoto anatoka namba moja darasan mpaka wa mwishoni mwishoni huko kisa kunyanyaswa na kubaguliwa baada ya wazazi wake kufariki.
Amandla...