Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Sure. Pia mtaa una Guest nying kinoma. Hata mleta thread inaonesha hana hela. Hivyo huduma nyingi za familia yake zinatoka kwa mke.
Tulikuwa na kiwanja opposite na mwalimu Abbas mzee akakataa kuendelea kupajenga sababu ya wingi wa lodges akapauza.
 
Out!!????
FB_IMG_1589782972465.jpg
 
Ma binti wa siku hizi wakoje. Mm mashoga wanaweza ongea yooote kuhusu waume zao ila mm sijawahi wala sitarajii kutia neno lolote kuhusu mume wangu wala mipango yetu.
 
Mademu wa morogoro ndo wana mambo hayo..inshort wapogoro
 
Mwanaume Rijali hilo jambo dogo sana wala sio la kujilalamisha jamvini .. amekushika kweli pole sana
 
Back
Top Bottom