Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Amwambie mke ajifunze kutunza siri,kama akishindwa kutunza basi aanze kufanya mambo yake kimya kimya....kama mke atakuwa na akili atajifunza
Hili la mume kumficha mke siri (za maendeleo) ni hatari sana. Nina kisa cha mtu wangu wa karibu Sana kupoteza mali nyingi kwa vile alijitenga kumshirikisha mke kwa vile hakuwa na kifua.

Sisi tuliobaki tukakubaliana kwa kauli moja kuwa mke akiwa mkorofi, hatunzi siri Dawa ni kumpandisha cheo awe Bi Mkubwa. Kisha aambiwe sifa za kumpandisha cheo. Baada ya hapo zoezi la kusaka Bi Mdogo mwenye kifua linaanza rasmi. Lengo ni kuhakikisha siri za maendeleo zinae wa kuzitunza. Ni somo ghafi hili tulipewa. Tunazingatia.

c.c malembeka18
 
Nipe Hilo somo mkuu
 
Mpaka unaonaje, kakushika ama hajakushika..
Mna muda gani anakufanyia vitu vya ajabu nawe upo upo au hii ndio mara yake ya kwanza!?

Anagalieni na pakuoa..
Mtume(s.a.w) alitoa muongozo mwanamke anaolewa kwa mambo manne..

1. Dini yake(mcha mungu)
2. UKOO
kisha uzuri na mali..

Hapo kwenye ukoo ndio ulipobugi wewe, kuna koo nyingine sio za kuingia mkuu..

Wazee wetu wa zamani ndoa zao walifaulu kwa kiasi kikubwa kwa kutizama hiki kigezo cha ukoo(aidha kwa kujua maelezo ya mtume ama kwa kutokujua) lakini waliangalia mnoo nyumba za kuingia.

Mtume(s.a.w)

"Dunia ni starehe, na starehe iliyo bora ni kumpata mke mchamungu"

Tuangalie mnooo pakuoa.
 
"Dunia ni starehe, na starehe iliyo bora ni kumpata mke mcha mungu".

Swadakta!
 
Hapa naona Sina la kushauri, zaidi ya kukupa Pole sana mkuu
 
Shekh wangu upo sahihi kabisa nakiri nilikosea kuoa hasa kipengele chakwanza Cha uchamungu na ukoo aisee nishida tu familia haiswali haifungi
 
"Dunia ni starehe, na starehe iliyo bora ni kumpata mke mcha mungu".

Swadakta!
Swadakta mkuu namke side mchamungu kabisaa Wala hataki kujishulisha namambo mema ye niumbea kushadadia yawatu nakunizushia mabaya
 
Hili la mume kumficha mke siri (za maendeleo) ni hatari sana. Nina kisa cha mtu wangu wa karibu Sana kupoteza mali nyingi kwa vile alijitenga kumshirikisha mke kwa vile hakuwa na kifua.

Sisi tuliobaki tukakubaliana kwa kauli moja kuwa mke akiwa mkorofi, hatunzi siri Dawa ni kumpandisha cheo awe Bi Mkubwa. Kisha aambiwe sifa za kumpandisha cheo. Baada ya hapo zoezi la kusaka Bi Mdogo mwenye kifua linaanza rasmi. Lengo ni kuhakikisha siri za maendeleo zinae wa kuzitunza. Ni somo ghafi hili tulipewa. Tunazingatia.

c.c malembeka18
Vipi kwa wale wasioruhusiwa wake wawili?
 
Mkuu anatabia yakushindana nandgu zangu kuwaonesha kuwa kanishika ndo Kama hivo anazua Jambo lakunihusu mim au hitaji lakipesa linalohusi ndani au lake binafsi Kisha kujigamba kwa ndgu zangu na mamayake anashupalia anaungana nae ktk vijembe kwa ndgu zangu kuwaambia kwa vijembe kupitia hao Marafiki wamama yake kanishka hakuna nitakacho akshindwa kutoa Sasa ndo namshangaa wakat mim natekeleza wajibu Kama mume kwafamilia yangu lakini nikama nayeye anahamishia kwa mama kile nachohanngaikia kwa ajili yngu yake nawatoto
Mkuu,mwandiko wako unafanana na ule wa ex wangu...unachosha kuusoma
 
Vipi kwa wale wasioruhusiwa wake wawili?
Wale hawaruhusiwi mke zaidi ya mmoja huu kwao ni mtihani.

Lakini kwa vile siri za maendeleo zikibaki kwa mume pekee si sahihi, Vema basi, kujitoa kwenye kifungo walichojifunga. Na kujifunga kwenye kifungo kipya.

Kanuni hii inaswihi hata kwa wanawake wenye siri za maendeleo lakini waume zao hawatunzi siri, ima wamelemewa na wivu usio na mipaka. Badala ya mdada kuendelea kuishi na kitanzi cha mateso, vema akaanza upya. Apate mume mwelewa wa kumsitiri na kumtunzia siri za maendeleo.
 
Mkuu,mwandiko wako unafanana na ule wa ex wangu...unachosha kuusoma
ex-wako alikuwa mtu machachari namna hii?

Yaani wewe unasema siri zake kwa "watu wa nje" Kisha naye anaenda kukutolea uvivu maeneo ya JamiiForums!

Pole sana Joanah

Bora uling'atuka. Sasa ni kuanza ukurasa mpya taratibu tu.
 
Back
Top Bottom