Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Habari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.

Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
itisha kikao cha kamati kuu haraka sana piga chini
 
mbona kama kweli umeshikwa hivi
Kiaje mkuu wala sijashikwa mkuu sema najali sana familia yangu yaan yeye na mtoto kila hitaji watakalo hawalikosi Sasa nahis hata navyompa anapeleka kwa mama yake Kisha wao kujinasibu
 
Habari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.

Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
Mkeo anaangukia kwenye kundi wake wakorofi.

Dawa yake kama Dawa ya wanawake wakorofi wote ni kuoa mke wa pili.Basi!

c.c. Joanah nini maoni yako?
 
Sasa wewe unajuwa kuwa mkeo anafanya ujinga bado unakosa Cha kufanya kweli?!ndo maana anajinasibu kakushika nami ninamuunga mkono maana Nina wasiwasi na uanamme wako.
The only solution kwangu nikumrudisha kwao kumpa likizo isiyojulikana mwisho wake ili aone na ajifunze
 
Mkuu mke wapili uchumi hauruhusu
Mkuu mke wa pili haongezwi kwa vile uchumi wako umefikia kiwango cha uchumi wa Kati.

BTW kusaka mke kwa kigezo cha ubora wa uchumi wako utajitesa. Mbinu za kunasa mke jifunze kwenye Quran na Biblia.
 
Habari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.

Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
Be strong and of good Courage!Life is zic zic
 
Mkuu mke wa pili haongezwi kwa vile uchumi wako umefikia kiwango cha uchumi wa Kati.

BTW kusaka mke kwa kigezo cha ubora wa uchumi wako utajitesa. Mbinu za kunasa mke jifunze kwenye Quran na Biblia.
Nikweli Sasa mkuu hatanikijifunza ktk Quran na biblia Kama ilivoagizwa ntamlisha nin mkuu
 
Mkeo anaangukia kwenye kundi wake wakorofi.

Dawa yake kama Dawa ya wanawake wakorofi wote ni kuoa mke wa pili.Basi!

c.c. Joanah nini maoni yako?

Amwambie mke ajifunze kutunza siri,kama akishindwa kutunza basi aanze kufanya mambo yake kimya kimya....kama mke atakuwa na akili atajifunza
 
Mkuu anatabia yakushindana nandgu zangu kuwaonesha kuwa kanishika ndo Kama hivo anazua Jambo lakunihusu mim au hitaji lakipesa linalohusi ndani au lake binafsi Kisha kujigamba kwa ndgu zangu na mamayake anashupalia anaungana nae ktk vijembe kwa ndgu zangu kuwaambia kwa vijembe kupitia hao Marafiki wamama yake kanishka hakuna nitakacho akshindwa kutoa Sasa ndo namshangaa wakat mim natekeleza wajibu Kama mume kwafamilia yangu lakini nikama nayeye anahamishia kwa mama kile nachohanngaikia kwa ajili yngu yake nawatoto
 
Back
Top Bottom