Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijawahi mshirikisha Jambo langu kubwa lolote Zaid ya vitu vya ndani nikitaka nunuaOngea nae kuhusu hilo jambo. Ukiona habadiliki usimshirikishe mambo yako.
kama umepanga hama huo mtaaMkuu sijawahi mshirikisha Jambo langu kubwa lolote Zaid ya vitu vya ndani nikitaka nunua
Mkuu nimambo yakawaida tu alafu mama yake anayashupalia kwa Shari so kheri yaan nikama mtu anaekamia Jambo flani yaan nikama ataka ampeleke mwanae atumie Mali nazochuma kujinufaishaKuna tatizo gani mkeo 'akikushika'?
Kama yale mnayoongea ndani anapeleka nje, dawa ni rahisi sana, hakuna kuongea mambo usiyotaka kutoka nje mkiwa ndani. Pigeni story zingine tu na mkiwa faragha mpige miti haswaa. Baada ya muda atakwenda kusimulia huko nje namna unavyompiga miti kisawa sawa.
Habari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.
Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
Mkuu kivip wakat vitu anavyovisema kwa mama yake nakunitangazia hata Sina labda tatizo langu nikuijali Sana familia yangu yaaan yeye mke wangu na watoto maana namhudumia kwakila alitakalo lililondani ya uwezo wangu tuMbona hata uzi wako tu unaonyesha ni kweli umeshikwa?
Rekebisha tatzo lako la nguvu za kiume kwanzaHabari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.
Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
Mkuu nikwamba mama yake ananisema kwaubaya Kama wanikomeshe ananisema kwakuona Kama yaan kuwaumiza wazazi wangu yaani hayo manenoKama huyo mkeo hakusaliti hakuendeshi basi furahia maana hiyo ndoa yako itadumu. Mama mkwe ni kiungo mhimu kudumisha ndoa za watoto wao. Kuhusu kukuongea mtaani ni kwamba wanakuona unathamani kwao. Kama unataka kujua kuwa umebarikiwa basi waulize wale ambao wakwe zao wanawachukulia kama shamba boy fulani hivi.
Mkuu mke Wala hanisaliti kabisaKama huyo mkeo hakusaliti hakuendeshi basi furahia maana hiyo ndoa yako itadumu. Mama mkwe ni kiungo mhimu kudumisha ndoa za watoto wao. Kuhusu kukuongea mtaani ni kwamba wanakuona unathamani kwao. Kama unataka kujua kuwa umebarikiwa basi waulize wale ambao wakwe zao wanawachukulia kama shamba boy fulani hivi.
Mkuu chakufanya hapo ndo nawaza no nin maana mambo yakijinga anayofanya mama yake anamuunga mkono ndio anaeshadadia mambo yakipuuzi ya mwanae Wala haoni Kama tatizoAtakuwa kakushika kweli maana angekuwa hajakushika,usingekuwa haujajua Cha kufanya mpaka Sasa maana Mambo mengine ni madogomadogo ambayo hayahitaji elimu hata ya chekechea kuyatatua.
Mkuu you sahihi kabisaaa umeongea vyema SanaHao ni wale wanawake wasiojua ndoa na thamani yake,kila mnachofanya anaenda kukipeleka kwao,matokeo yake unakuta ndoa yako inakuwa remotely controlled na ukweni,kifupi ni kuwa huyo hajielewi au ni wale wanaoamua kuolewa ili tu aonekana na yeye ana mume lakini mwishowe anajikuta anachemsha...
Mkuu hizo tabia nilimkanya awali akasema hatorudia Sasa naona imejirudia tenaMkanye aache hizo tabia zake.
Mkuu uwe wakuongeza mwingne Sina nakipato chakulisha mmoja tuUnaandika kwa kulalamika Sana daah kweli umeshikwa mpaandishe cheo awe bi mkubwa
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ujinga kivip mkuuUjinga mtupu unataka ushauri gani sasa?
Ha ha ha ha 07 ten mkuukweli umeshikwa........muombe 07......halafu mwambie nikisikia kwa mamako au mtaani....uhame mwenyewe....
Mkuu yaani niliona mwanamke nizaid yakiaziUlioa kiazi na wewe
Mkuu tunaishi kwetu yaan kwangu mim na yeyekama umepanga hama huo mtaa
Sasa wewe unajuwa kuwa mkeo anafanya ujinga bado unakosa Cha kufanya kweli?!ndo maana anajinasibu kakushika nami ninamuunga mkono maana Nina wasiwasi na uanamme wako.Mkuu chakufanya hapo ndo nawaza no nin maana mambo yakijinga anayofanya mama yake anamuunga mkono ndio anaeshadadia mambo yakipuuzi ya mwanae Wala haoni Kama tatizo