Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

kweli umeshikwa........muombe 07......halafu mwambie nikisikia kwa mamako au mtaani....uhame mwenyewe....
 
Kuna tatizo gani mkeo 'akikushika'?
Kama yale mnayoongea ndani anapeleka nje, dawa ni rahisi sana, hakuna kuongea mambo usiyotaka kutoka nje mkiwa ndani. Pigeni story zingine tu na mkiwa faragha mpige miti haswaa. Baada ya muda atakwenda kusimulia huko nje namna unavyompiga miti kisawa sawa.
Mkuu nimambo yakawaida tu alafu mama yake anayashupalia kwa Shari so kheri yaan nikama mtu anaekamia Jambo flani yaan nikama ataka ampeleke mwanae atumie Mali nazochuma kujinufaisha
 
Habari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.

Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.

mbona kama kweli umeshikwa hivi
 
Mbona hata uzi wako tu unaonyesha ni kweli umeshikwa?
Mkuu kivip wakat vitu anavyovisema kwa mama yake nakunitangazia hata Sina labda tatizo langu nikuijali Sana familia yangu yaaan yeye mke wangu na watoto maana namhudumia kwakila alitakalo lililondani ya uwezo wangu tu
 
Habari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.

Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
Rekebisha tatzo lako la nguvu za kiume kwanza
Screenshot_20201127-160816.jpeg
 
Kama huyo mkeo hakusaliti hakuendeshi basi furahia maana hiyo ndoa yako itadumu. Mama mkwe ni kiungo mhimu kudumisha ndoa za watoto wao. Kuhusu kukuongea mtaani ni kwamba wanakuona unathamani kwao. Kama unataka kujua kuwa umebarikiwa basi waulize wale ambao wakwe zao wanawachukulia kama shamba boy fulani hivi.
Mkuu nikwamba mama yake ananisema kwaubaya Kama wanikomeshe ananisema kwakuona Kama yaan kuwaumiza wazazi wangu yaani hayo maneno
 
Kama huyo mkeo hakusaliti hakuendeshi basi furahia maana hiyo ndoa yako itadumu. Mama mkwe ni kiungo mhimu kudumisha ndoa za watoto wao. Kuhusu kukuongea mtaani ni kwamba wanakuona unathamani kwao. Kama unataka kujua kuwa umebarikiwa basi waulize wale ambao wakwe zao wanawachukulia kama shamba boy fulani hivi.
Mkuu mke Wala hanisaliti kabisa
 
Atakuwa kakushika kweli maana angekuwa hajakushika,usingekuwa haujajua Cha kufanya mpaka Sasa maana Mambo mengine ni madogomadogo ambayo hayahitaji elimu hata ya chekechea kuyatatua.
Mkuu chakufanya hapo ndo nawaza no nin maana mambo yakijinga anayofanya mama yake anamuunga mkono ndio anaeshadadia mambo yakipuuzi ya mwanae Wala haoni Kama tatizo
 
Hao ni wale wanawake wasiojua ndoa na thamani yake,kila mnachofanya anaenda kukipeleka kwao,matokeo yake unakuta ndoa yako inakuwa remotely controlled na ukweni,kifupi ni kuwa huyo hajielewi au ni wale wanaoamua kuolewa ili tu aonekana na yeye ana mume lakini mwishowe anajikuta anachemsha...
Mkuu you sahihi kabisaaa umeongea vyema Sana
 
Mkuu chakufanya hapo ndo nawaza no nin maana mambo yakijinga anayofanya mama yake anamuunga mkono ndio anaeshadadia mambo yakipuuzi ya mwanae Wala haoni Kama tatizo
Sasa wewe unajuwa kuwa mkeo anafanya ujinga bado unakosa Cha kufanya kweli?!ndo maana anajinasibu kakushika nami ninamuunga mkono maana Nina wasiwasi na uanamme wako.
 
Back
Top Bottom