Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Pole yaani kuanzia siku ya kwanza mpaka miaka 8 ndiyo ukaiona shida? Au ndugu zako wamekushika masikio? Maana watu wa huko Bunda wana mdomo hasa wanawake hata kama yeye ndoa yake imemshinda lakini ya kaka yake ataikomalia huyo, na ulitakiwa uangalie shida inaanzia wapi kama ndugu zako hawakumkubali lazima walete figisu za hapa nà pale, ila kwenu mnaoga ziwani hata mjini unajitengea tu [emoji3] pole sana kilema umekifuga mwenyewe.
Asili haiachi asili ...hawa ndio wanaume wanao jifanya maromantic huku wanaumia mwisho wa siku lazima maji yafuate mkondo wake
 
Endelea nae hadi akili zitakapoanza kufanya kazi kiume. Kwasasa bado hauna akili sawa sawa.
 
UZI ULITAKIWA UISHIE HAPO KWENYE UMEOA (MRANGI)

UJue vijana tunakosea kujua tabia za makabila,
Huwezi kuishi na mke wa kirangi kama unavyoishi na mke mnyamwezi!

Huwezi ishi na mke wa kichaga kama unavyoishi na mke mzaramo!

Kila kabila lina mbinu zake, Tatizo kubwa lipo kwa waoaji wanaume sisi ndo hatutambui!
Kabla hujaoa kama huwezi kucheza na biti za hilo kabila kwanini unaoa?

Walangi ni wababe na ni watamu na ubabe wao , wachaga ni jeuri lakini ujeuli wao unafaida, wazaramo wana mauno wanafaida na mauno yao!

Ukitaka sifa za huku ulete kule utachemka tu!

Oweni wake wa matamanio yenu bhana mnatusumbua kutoa ushauri

Ajabu huyo unaesema hapeleki maji akiolewa na mwingine maji anatenga vizuri!

Siku moja jamaa alimuacha mwanamke kisa hakati mauno, lakini alikoenda kuolewa jamaa yake alikatiwa mauno balaa!

Hivyo tatizo siyo mwanamke ni namna ya kumuanzisha, unavyoanza naye ndivyo mtakavyomaliza
Bonge la comment.
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.

Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.

Nawasilisha.

Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
Hee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe tatizo lenyewe ni Kufua nguo na kuweka maji bafuni?[emoji1787]

Tafuta Hela blaza,
Mabafu Yana maji hukohuko ndani yake.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja apambane na hali yake kwani mapuuza kwenye ndoa hayana chama,soma kama mwanaume kwani hawa wanawake sio wa kuwachekea hata chembe
 
Tatizo uliamua kulea tatizo..ungefanya Jambo mapema msingefika huko..pole sana
 
Mrangi??

Anyway, huyo mpandishe cheo awe mke mkubwa tena mtafutie mrangi mwenzake walogane vizuri.
We unawajua vizuri Sana hawa Dada zangu!

Jamaa kakamatwa haswaaa,

Yaani Hawa ndugu zangut ukishawaoa tu,lazima watawale nyumba ndivo walivyo,mkakati Huwa unapangwa KABLA hujamweka ndani wakishirikiana na mama ZAO na shangazi ZAO!!

Alifanya mchezo atakuwa anapika na kufagia uwanja kabisa!!

Hata nduguye akipata shida ya pesa kidogo tu Hadi akamuulize mkewe ndio apewe akikataa ndio Basi Tena!

Atalea Sana ndugu wa ukweni kuliko wa kwao Hapo nyumbani!!

Aoe mwingine kama anakipato kizuri au talaka TATU!!
 
hili ndio tatizo la kutaka fananisha maisha ya wengine na yako,miaka yote mmeishi wote ulikuwa una jiwekea maji wala hauja ona taabu leo umekaa kijiweni umeskia wenzako wana pelekewa maji na kufuliwa boxer na wewe unataka, kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha na samaki mkunje angali mbichi. Mkeo ulitakiwa mfundisha toka mko kwenye uchumba leo usha mtumia ana watoto wa tatu una taka mvunja kiuno tena abebe maji kwenda bafuni ungekuwa una taka haya unge mwambia toka unataka mwoa angejipanga. So siku shauri uoe mwingine maana mpaka hapa inaonyesha hauna kipato cha kutosha utakuwa una jipa presha zaidi ya kudaiwa matumizi nyumba mbili.
Kumaliza tatizo sio mke mpya jibebe maji yako fuo boxer zako kama ulivyo kuwa unafanya wanao fanyiwa waachie wao hayo.
Hivi nyie mmeoa au mnasimuliana,hujawahi sikia story za wanawake kuficha makucha na kuja kubadirika mkiwa kwenye ndoa?utatumia ubabe mwishowe uishie kuua mtoto wa watu uishie jela uache kula maisha!
 
Kabla ya kuomba ushauri wa dizaini hii tuambie na lifestyle yako, inawezekana ni feedback au revenge kwa unayomfanyia.
*USIMPIGE HATA DAY MOJA...
Vuruga kidogo saikolojia, tafuta dada zuri day moja aje kukufulia nyumbani mbele yake, aanike aondoke. Baadae aje achukue akapige pasi, halafu we muage kuwa unaenda kutembea kidogo na pia utapita kuchukua nguo zako kwa mpiga pasi😊.
Ongea huku ume relax, halafu mwachie pesa kidogo, mwambie usiku hauli, una mwaliko kwa rafiki yako Bujibuji Simba Nyamaume 🤗.
Mwambie usiku una hamu nayo ajiandae...utamletea zawadi😊.
Ukirudi itwange baba hata na nguvu za kukodi(vumbi,viagra)...
Ukikaribia kutoa vitu na yeye akawa anaililia, uwe unalalama nifuliee nifuliee in beberu voice(atafurahia uchizi) problem solved, sio kila kitu unawazaaa na kutumia nguvu...😆😆😆🙌
 
Tafuta beki tatu special majukumu yake yawe ndio hayo,Kama Ni mama wa nyumbani mtimue
 
Back
Top Bottom