Mke wangu ananifuatilia FB


Nimekupata mkuu na ujumbe nimeupata
 
Mmmh!! Nyie mtakuwa waovu wote wa2 isipokuwa hapa we unaonekana kumkandamiza tukipata maelezo ya pande2 tutajua nan muovu'bado sikuamini'lazma utakuwa na ww una jambo tu'nna waswas sana na ww.
 

Mie nasubiria siku ya arobaini yako nije kula pilau kama sio wali mweupe. Endelea kuvumilia na kusamehe, ila nakushauri mpaka hapo ukapime afya yako, usikute kwishne wewe!
 

Mkuu, huyo mdada tayari ameona weakness yako na trust me anaitumia ipasavyo kabisa! hiyo kukufatilia ni kwamba anatafuta loophole ya kujustfy anachofanya na aipatie tabia yake heading ya "revenge".

Kwa kesi yako ilivyo, Solution sio kujitoa facebook, solution ni wewe kuwa strong na kusimama as a man (though naona kama ni too late).

My view kuhusiana na facebook.
I have been there, I know whats goin on there, though am not there anymore, na nadhani kwa mwanandoa wa kiafrika ninapomkuta facebook, I predict that its only a matter of time ndoa yake itaanza misuko suko, its the worst place to be kwa wanandoa especially wa kiafrika.
 
lakini mshikaji wewe uko safi?kama uko safi wala usihofu halafu hiz facebook zitawavurugia ndoa,ya nini kuhangaika nayo mjitoe tu huko hakuna mpya zaidi ya picha na ugomvi especially kwa sie tunaoitwa vimeo mi nilijitoa long time maana kila siku nilikua natibua kesi na vishawishi huko vingi sana,warembo wa kumwaga na picha za kutega,yaani nilishawahi kumuona mke wa mshikaji wangu hiyo picha aliyopiga ndani ya swimming costume wallahi kama asingekua namjua kazi ipo.anyways na ujue kuwa bado facebook kwetu inatumika kivingine zaidi.mjengee trust na wewe uamke bwana nina wasiwasi kidogo na kujirudi makosa yake au kama vipi msahau yaliyopita muanze upya no kuchunguliana simu,no facebook etc
 
she is a stalker and it is creepy . leave her and get secured woman
 
Baada ya mahangaiko ya siku nzima mwisho wa siku unatakiwa kurudi home so unatakiwa utafute amani na mkeo ,pia kaa naye mjadili kwanini mnagombana nini kifanyike ili mpate kurudishiana imani ile ya mwanzo na je ukiacha hayo mambo ya fb kila kitu kitakuwa poa?kama ndio please make it remember she was taken from your rib and your now one flesh,mambo ya kutembea na rafiki yako hayapendezi jiulize kwanini alifanya hivyo je wewe uliwahi kumtenda na yeye kuamua kukulipia kwa rafikiyo?maana of all the people why your friend kwanza mngetakiwa kulifikisha kwa wazee(wamama wazee) wa kanisa ili aone na atambue sio hekima kuvunja amri ya Mungu (USIZINI ),kwani yeye kama mke anatakiwa kuwa kioo kwa jamii inayowazunguka ,ni vizuri kwamba umemsamehe maana inatupasa kusamehe ili nasi tusamehewe.Angalieni Uzinzi ni chukizo mbele za Bwana (Hamjui ya kuwa miili yenu sio mali yenu ila ni hekalu la Roho Mtakatifu?)
 
kwanza nikusifu-una moyo sana wa kuishi na huyo mke wako,inaonyesha anakutawalal vyema sana,bila wewe kujijua,kama umeshakuwa na uhakika kuwa ana uhusiano na watu wengine,tena wengine ni rafiki zako,hilo ni tatizo kubwa,atakuja kuletea maradhi hapo ndani then akulaumu wewe tena,
inaonyesha yeye anafanya defensive technique ya kukubana wewe kuwa una mtu,ilihali anajua kuwa wewe huna,na yeye anafanya mambo ayke pasipo tatzo,
KWA MCHEZO HUO ANAOFANYA,UTAKUWA MUME *****
 
pole kwa mgongano na mkeo hasa suala la jamii lakini kaa ukielewa ugomvi wenu unatokana na historia au matendo yaliyopo nato yako kwnye makundi 3:-
  1. inawezekana anafanya hilo jambo ambalo anakutuhumu au wewe kuna mazingira anayaona
  2. inawezekana uko au yuko mbioni kufanya jambo ambalo anatuhumu
  3. pia yawezekana alishalifanya au ulishawahi kulifanya akalielewa
 
unajua uvumilivu mwingine unakuwa ujinga sasa!
Mkuu umekamatwa simple!
 


Pole sana ,I wish tungebadilishana na huyo mkeo.
 

Mkuu, ni PM number yake mimi nitakusaidia mumuelewesha asikuumize tena.
 
<font color="#ff0000">is it possible to deactivate your FB account? let me know please</font>
<br />
<br />
bila shaka na we Mkeo kashakuchimba biti...ukishafungua facebook shuka chini kabisa utaona neno setting au kama unatumia fb ya swahili utaona neno mpangilio,click that word then ukishuka chini kabisa utapa mahala pameandika Account then Mbele yake option to diactivate au in swahili itakua imeandikwa Pooza...
 
nikupongeze kwa moyo wa ujasiri wa kusamehe, inaonekana kuna mambo mengi zaidi ya haya.Cha msingi fanyia kazi ushauri uliopewa hapa jamvini ulio uona wa maana kwako

Pia be a man act on what your suppose to act,mkeo anakuona ww ni bwe..ge. ndio maana naweza kufanya lolote analotaka yeye.Kaa ukijua mkeo ni kicheche ukitaka kujiua ukicheche wake take your time to investigate her na ww mfuatilie huko fb ujue nn kinachoendelea fukunyua simu yake vizuri.

Baada ya zoezi hilo basi fanya maamuzi.Biblia inaturuhusu kuachana na mke sababu ya uzinzi pia usisahau kama una watoto kapime DNA unaweza ukawa umepigwa changa la macho.

Mwisho anza kumpotezea sana toka out sana akikupigia mwambie niko na jamaa zangu tumetoka out,usiwe mwingi wa maneno kwake kama una watoto onesha zaidi upendo kwa watoto kuliko mama kama ikibidi tendo la ndoa usimpe mala kwa mala pia usisahau kwenda kupima ka afya huwezi jua huko alikomegwa.

Jitahidi kuwa makali mkubwa amekupanda sana huyo anakuona ww ni bwe..ge hata kama unamwili kama jumba usipotumia kidogo kwa kumpa kichapo basi ni kama housing ya simu. Be man of action

Baada ya kufanyia kazi ushauri wote uliopewa baada ya miezi 2 tunaomba uje jukwaani utupe matokeo
 

Sasa lazima kuna jamaa face book anatoka naye.
 
Ndugu achana na fb then fanya kazi ya kumchunguza mkeo kuna mengi yaliyojificha kaka,trust me she is not the one you she is.jitahidi kuifatilia cm yake na nyendo zake japo kwa week1 tu utapata kitu.
 
Nakubaliana na ushauri wa NN kua uachane na facebook. Ndoa yako ni ya thamani sana kuliko facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…