Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani waungwana naomba msaada wenu huyu mke wangu mie simuelewi kabisa.
mwanzoni mwa mahusiano yetu alikuwa na tabia sana ya kuchunguza simu yangu na hakuwahi kugundua message yoyote mbaya ingawa hata msg isiyo ya kimapenzi ikiingia kwenye simu yangu so long as inatoka kwa mwanamke basi siku hiyo ni vurugu kupita kiasi akidai huyo mwanamke atakuwa bibi yangu ama mpenzi wangu tu. siku mie niliposhika simu yake siku moja, nikagundua msg nyingi za kimapenzi toka kwa wanaume wawili tofauti, anaomba radhi nikamsamehe.
Baada ya muda alikuwa akinisumbua kwa kudai kuwa mimi nina uhusiano na wanawake chungu tele kuanzia wale ninaofanya nao kazi hadi mtaani. Baada ya kuchunguza nikagundua kumbe yeye ndio ana mahusiano ya kimapenzi na rafiki yangu. mini ni mvumilivu nilimsamehe ingawa ni baada ua kukana sana na mwisho wa siku akakubali. hayo yakaisha mwaka jana.
Sasa hivi amekuja na mpya. Anasema kila mwanamke ambaye ni rafiki yangu facebook kwamba ni bibi yangu na anakomaa kwelikweli. mie nashindwa hata nimwambie nini ili aamini kuwa mawazo yake sio kweli maana kuna wasichana zaidi ya 1000 kwenye orodha ya marafiki zangu fb na wavulana kama 1000 wengine. kila comment yangu kwa mwanamke yoyote inakuwa ugomvi hauna mfano, kisa eti na comment kwa bibi yangu. kwakweli sina amani kabisa na hali hii inanikosesha raha.
Naomba waungwana mnisaidie nifanye nini maana nahisi kama anaanza tena kuficha uovu wake kwa kunipakazia mie, nahisi tu hilo sijafanya uchunguzi tena.
Wa2 wengine bhana cjui hacra zao ziko SILENT au VIBRATION! umegundua anatembea na rafiki yako kweli unamsamehe!! hata kama ni mke! haki y mungu baba angu mwanaume ningepiga nusu y kuua na talaka juu.
Wa2 wengine bhana cjui hacra zao ziko SILENT au VIBRATION! umegundua anatembea na rafiki yako kweli unamsamehe!! hata kama ni mke! haki y mungu baba angu mwanaume ningepiga nusu y kuua na talaka juu.
Pole sana kaka. Binafsi sioni faida yoyote ya FB ambayo inaweza kukufanya ndoa yako iwe ktk hati hati kisa fb. Najua ina addiction fulani hivi, lakini jaribu kujitoa kabisa hata kwa muda uone visingizio vya huyu bibie kama vitaisha. Pili.. kama ni mkosefu wa uaminifu jaribu kumfuatilia tena asije leta magonjwa kwenye familia yenu. Tatu.. wewe na mwenzio jitahidini kuepuka mazingira au mambo ambayo yanaweza kumfanya mwenzio kuhisi kuibiwa au kupata wivu. Kila la kheri
sijui upande mwengine wa shilingi,ila kama unayoaelezea ndivyo yalivyo,inaonyesha upo weak sana kwa mke wako{samahani lakini}na hata ufanyaje ataendelea kuwa hivyo hivyo.visingizio visivyoisha,kwani hiyo ndio tabia yake.hata ukiacha kuingia face book,atatafuta visingizio vyengine.hiyo issue ya kucheat anafanya vibaya,juu ya yote wewe ndio muamuzi.kwani wewe ndie unaemjua vilivyo
Umezidi upole kaka, shake vitu kidogo awe na adabukisukari nakushukuru maana inaonyesha hata nikijitoa fb mambo haya anaweza kuendelea nayo, kama jinsi alivyofanya akitumia simu na akitumia kisingizio cha kuwa kaambiwa nina wapenzi kazini. ndio maana mie sioni kama kweli fb ndio sababu lakini nataka nijitoe kwa muda nione atasingizia nini. hata hivyo yeye pia yuko fb na mie huwa simfuatilii huko hata kidogo na sipendi kufuatiliana maana naamini ni kujipa ugonjwa wa moyo. lakini sijauelewa huo u=weak wangu ni kutokana na kuwa mpole na kumsamehe kila wakati au la?
Achana na facebook ujinga tu huko mie hata kutumia sijui
Umezidi upole kaka, shake vitu kidogo awe na adabu
jamani waungwana naomba msaada wenu huyu mke wangu mie simuelewi kabisa.
Mwanzoni mwa mahusiano yetu alikuwa na tabia sana ya kuchunguza simu yangu na hakuwahi kugundua message yoyote mbaya ingawa hata msg isiyo ya kimapenzi ikiingia kwenye simu yangu so long as inatoka kwa mwanamke basi siku hiyo ni vurugu kupita kiasi akidai huyo mwanamke atakuwa bibi yangu ama mpenzi wangu tu. Siku mie niliposhika simu yake siku moja, nikagundua msg nyingi za kimapenzi toka kwa wanaume wawili tofauti, anaomba radhi nikamsamehe.
Baada ya muda alikuwa akinisumbua kwa kudai kuwa mimi nina uhusiano na wanawake chungu tele kuanzia wale ninaofanya nao kazi hadi mtaani. Baada ya kuchunguza nikagundua kumbe yeye ndio ana mahusiano ya kimapenzi na rafiki yangu. Mini ni mvumilivu nilimsamehe ingawa ni baada ua kukana sana na mwisho wa siku akakubali. Hayo yakaisha mwaka jana.
Sasa hivi amekuja na mpya. Anasema kila mwanamke ambaye ni rafiki yangu facebook kwamba ni bibi yangu na anakomaa kwelikweli. Mie nashindwa hata nimwambie nini ili aamini kuwa mawazo yake sio kweli maana kuna wasichana zaidi ya 1000 kwenye orodha ya marafiki zangu fb na wavulana kama 1000 wengine. Kila comment yangu kwa mwanamke yoyote inakuwa ugomvi hauna mfano, kisa eti na comment kwa bibi yangu. Kwakweli sina amani kabisa na hali hii inanikosesha raha.
Naomba waungwana mnisaidie nifanye nini maana nahisi kama anaanza tena kuficha uovu wake kwa kunipakazia mie, nahisi tu hilo sijafanya uchunguzi tena.
kisukari nakushukuru maana inaonyesha hata nikijitoa fb mambo haya anaweza kuendelea nayo, kama jinsi alivyofanya akitumia simu na akitumia kisingizio cha kuwa kaambiwa nina wapenzi kazini. Ndio maana mie sioni kama kweli fb ndio sababu lakini nataka nijitoe kwa muda nione atasingizia nini. Hata hivyo yeye pia yuko fb na mie huwa simfuatilii huko hata kidogo na sipendi kufuatiliana maana naamini ni kujipa ugonjwa wa moyo. Lakini sijauelewa huo u=weak wangu ni kutokana na kuwa mpole na kumsamehe kila wakati au la?
kama ulijua yataendela ulibeba zigo la nini mpwa???ndoa ndoano sio mchezo wa bao ooohh uliza wanaotamani kunngekuwa na exp date kwenye cheti cha ndoa lakini too late sikutishi ila anaekomaa mpaka mwisho ndie anaeshinda
karibu kwa mwakasege pale kinondoni tukupe neno likutoe kwenye shida ndogo ndgo kama hizo m nilijua kaweka sumu
umechomoa kumbe hili yanatibika kabisa njoo nakanguo chake hata cha ndan poa wakisema kuombea nguo unakafunga kwenye uwazi unakaiinua juu unaombea mkeo abadilike easy
Kwa kweli kwa maneno yako huyo mkeo anakuchezea kwani yeye ndio anakulisha humo ndani?
maana siamini kuwa umemkamata analala na rafiki yako na bado anakosa adabu ya kutaka kuku control maishani mwako
na inaonekana hiyo tabia hataacha ya kukuibia au anaambiwa na marafiki zako hata huyo uliyemkamata nae inawezekana bado wanalala wote na ndio anakuchongea mgombane.
ila alikuibia worse na rafiki yako kwa nini bado unamruhusu akukalie kichwani kuwa mwanaume mwambie aache usumbufu huo au fungua fb nyingine mblock weka watu wa circle ingene enjoy bwana sio shida kuwasiliana na ma ex kama mliachana kwa uzuri bila kugombana
fb haina shida kwa mimi sioni tabu yake ila wewe ukimchunguza anaakina nanikwenye yake basi utalia
usimuamini hata kidogo huyo mkeo samahani nakuambia bila kuficha maneno ila umweleze kuwa kuna magonjwa na wewe unadhani anaiba bado na uwe a man asikuzungushe kichwa hata kidogo ana bahati unampenda nini anakusumbua na ni a cheater?
kuwa mkali anza kwenda ku hang out na ur friends utaona atanyooka na kukuheshimu. akipiga simu pokea sema uko bar rudi home endelea na maisha kwenda bar unaweza kukaa na kunywa soda inasaidia pia.
n.b. endelea kumchunguza pia analake, hawa wanawake ndio wanaweza leta mimba ya nje wakasema ya mume.
Good luck
Na kw hapo chini kwa black pameandikwa thanx papende napo.Nimependa hapo kwa red.. haha hahaa
mbona thanx y kuandika thatha?! ile nyingine y kubofya ndio inaleta vitamin.Kwakweli umenichekesha sana lakini huku nikipata funzo ndan yake. Thanks sanaaa