Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Na hapo ndio mtihani. Yaani niwe na kibarua cha kutafakari kwanza niko wapi ili nijue mume wangu nimuiteje?!!
Je fikiria ndiyo mngekua na zile salamu za kizungu za kupigana mabusu hadharani Kama Mimi na my wife wangu angesemaje!?
 
Ndiyo maana wanagongewa wake zao kwa vitu vidogo vidogo sana, ambavyo wakiaamua wanaweza kuvi master!!
Mwanamke kugongwa ni hulka yeke, hata kule vijijini ni wachafu na hawana mbele au nyuma pia wanagongwa sebuse hapa mjini
 
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......

Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.

Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......

Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
njoo hapa tarime tukufundishe tuition ni nini ufanye
ili asikuchezee huyo
 
Sio poa
 
Tatizo sisi wabantu.
 
Hujui unataka nn kwahyo mtu kukuonyesha upendo imekua keroo? Hata mtume alisema tuitane majina mazuri mazuri ya kimahaba kama laaziz,mahabuba na mengine mengi mazuri hivo tulia baba mtuu
 
Back
Top Bottom