Je fikiria ndiyo mngekua na zile salamu za kizungu za kupigana mabusu hadharani Kama Mimi na my wife wangu angesemaje!?Na hapo ndio mtihani. Yaani niwe na kibarua cha kutafakari kwanza niko wapi ili nijue mume wangu nimuiteje?!!
Mwanamke kugongwa ni hulka yeke, hata kule vijijini ni wachafu na hawana mbele au nyuma pia wanagongwa sebuse hapa mjiniNdiyo maana wanagongewa wake zao kwa vitu vidogo vidogo sana, ambavyo wakiaamua wanaweza kuvi master!!
njoo hapa tarime tukufundishe tuition ni nini ufanyeNdugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.
Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......
Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Ha ha haJe fikiria ndiyo mngekua na zile salamu za kizungu za kupigana mabusu hadharani Kama Mimi na my wife wangu angesemaje!?
Sasa shida nn? KhaaaaahYeye sio mtu mzima lazima ajue mazingira tuliopo, niko hospitalia tunauguza baba mzazi unaanza kuniita kwa saut my sweetheart [emoji813] wodi yote inasikia loh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mapenzi gan hayo? Lol
Sasa shida nn? Khaaaaah
Sio poaNdugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.
Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......
Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Tatizo sisi wabantu.Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

🤣🤣🤣🤣Honeeeeey
Mbona chumbani linanoga tu,kwani lina jinsi hili.Honeyy kwa mwanaume dah 😆
🤣🤣🤣 umeua aiseee.Hili unataka wana JF wakushauri?? Nini kazi ya hilo boga juu ya shingo??🤔