Ndgu zanguni wa jf baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na huluka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kua la utani na upendo na c mind sana namimi humiita my......sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini ku hani pia na tulikua na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilo ni kera kwa mke wangu ni kuni fuata fuata kila napo enda kuka na ndgu kupiga stori na asipo niona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana mda wa kushangaaa au kushituka kabisa, kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya?.......sikumpa jibu la moja kwa moja. ..... sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivo mbele za watu hususani ndgu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasabb ana niita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri ni muanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.