Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Nadhani jambo hili linategemeana na mazoea yenu, ivo ni ngumu kuacha kukuita ivo maana kazoea. Mimi nina miaka 7 kwenye ndoa tumezoea kuitana kwa majina yetu halisi.
 
Mwanamke hafany jambo kijinga jinga tu...hapo anategwa mtu aingie kingi...hu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww Mwenyewe binafsi huoni kama kuna shida yeyote kuitwa hivyo ukiwa mjini ila ni hapo kijijini ndio unaona tabu.

Uelewa wa watu wa kijiini na mjini ni tofauti,hasa kwa wazee ukijumlisha na mabadiliko ya kasi ya technolojia na utandawazi.

So inaonekana ww si mwanaume unaejisimamia,or unaejiongoza kwa kile unachokiamini kuwa ni sahihi bila kujali mitaZamo ya watu wengine.

Sifa ya mwanaume ni kujiamini,hata kama yuko wrong ila ana stand still huko baadae ndio itajulikana.

Sasa ww Uanaume wako unatia mashaka,unapenda kusikiliza sikiliza sana Maneno ya watu yakuongoze nn chakufanya na nn usifanye hata kama huoni shida yeyote ktk jambo hilo.

Kwa dalili hizi tegemea mkeo kuwa kichwa cha familia,or kuwa in charge wa familia kwamba kipi kifanyike na kipi kisifanyike mana atakusoma na atagundua kuwa ww sio MTU wa maamuzi.

By the way sio mbaya mana wanawake ndio wametake charge sasa wanaongoza nchi so ukae kwa kutulizana ili uongozwe kuanzia ngazi ya taifa hadi ya familia

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…