Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mulwanaka wacha ujinga huo, huyo ni shetani anataka kukuachisha na family yako au pengine una mwanamke mwengine ndio maana unaona kero mambo yote hayo anayokufanyaia moja tu umeona kero yaani karatasi nyeupeee ina kidowa cheusi ktikati umeona hicho tu ule weupe wote hukuona hebu deka nae mwenzako n ww mdekezeee.Hapana ctamuacha ila nataka kujua kama na wezangu wana experience haya ya kwangu,......kupata wife material sio rahisi mambo mengine ana yafanya poa, anapika vzri she is nice in bed so waterly though hawezi×3, ana mapezi na watoto ni msafi, nk ila hataki kunipa uhuru nyumbani nikifungua laptop anakasilika ni kika kimya anaaza kiniuuliza unawazaa nini? nikilala anagonga mlango paka nashituka yaani in short ana ni kera ineed my space
Hii ndo dawa ataacha mwenyewe izo keroPiga mashine tu, we akikulalia vua vyupi piga mashine
Duh mimi na mandevu yangu nianze kufanya madeko!!!!! Mkuu sawa unalo sema kumuacha sio rahisi kwasabb hiyo, sabb haitoshi kuacha mke ulio zaa nae sasa 11yrs, ila ni kiendekeza madeko ada ya watt itakosekana, chakula kizuri holiday, house mantainance ya tashindikana ku yamudu, yote na yafanya kwa kupanga mipango halal, sasa hicho kichwa ndo anacho vuruga anataka kila dakika awe kifuani kwangu. Hapana citaki ujinga huo kila saa. Angalau aniruhusi siku tano za kazi nifanya concentration then wkd sawa na mimi ntajitolea hizo siku mbili.Mulwanaka wacha ujinga huo, huyo ni shetani anataka kukuachisha na family yako au pengine una mwanamke mwengine ndio maana unaona kero mambo yote hayo anayokufanyaia moja tu umeona kero yaani karatasi nyeupeee ina kidowa cheusi ktikati umeona hicho tu ule weupe wote hukuona hebu deka nae mwenzako n ww mdekezeee.
Mwambie aache ulafiAnachoka sanaa ana kilo 95 za uzito ukienda mara mbili kwa siku atashindwa kufanya kazi zingine nyumbani mwili unapata ngazi
😀😀✋✋(hasa vimbaumbau) ni minuno tu na ghubu kwa kwenda mbele hata tatizo hulijui.
Mkemee shetani ndugu yangu. Unapendwa halafu unahisi usumbufu kna kero duh!!Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.
Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Broo mwenyez hua anasikia kilio cha mtu na kukifanyia kazi,,iko Siku atapata jobless boy with six park atakua anafanya kazi ya kumbebisha tuu alaf utakuja hapa tena kulia lia.Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
Maisha ni huru free lifestyle yeye ni mtu mzima kama anaona hilo linalipa kuliko ndoa poa tu......mie nta move on tuBroo mwenyez hua anasikia kilio cha mtu na kukifanyia kazi,,iko Siku atapata jobless boy with six park atakua anafanya kazi ya kumbebisha tuu alaf utakuja hapa tena kulia lia.
Mshukuru Mungu songa mbele acha zako