Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Mulwanaka wacha ujinga huo, huyo ni shetani anataka kukuachisha na family yako au pengine una mwanamke mwengine ndio maana unaona kero mambo yote hayo anayokufanyaia moja tu umeona kero yaani karatasi nyeupeee ina kidowa cheusi ktikati umeona hicho tu ule weupe wote hukuona hebu deka nae mwenzako n ww mdekezeee.
 
Duh mimi na mandevu yangu nianze kufanya madeko!!!!! Mkuu sawa unalo sema kumuacha sio rahisi kwasabb hiyo, sabb haitoshi kuacha mke ulio zaa nae sasa 11yrs, ila ni kiendekeza madeko ada ya watt itakosekana, chakula kizuri holiday, house mantainance ya tashindikana ku yamudu, yote na yafanya kwa kupanga mipango halal, sasa hicho kichwa ndo anacho vuruga anataka kila dakika awe kifuani kwangu. Hapana citaki ujinga huo kila saa. Angalau aniruhusi siku tano za kazi nifanya concentration then wkd sawa na mimi ntajitolea hizo siku mbili.
 
Mi nimeeelewa unachomiss mkuu,..unauhitaji huo upendo but pia unahitaji muda wako, wa kufanya mambo yako na kutafakari vitu vyako binafsi....
Uhuru itakua ngumu kuupata kama wanavyosema, marriage means halving your freedom and doubling your responsibilities...
But njia nzuri ya atleast kupunguza hzo mambo nnafikiri ni kumpa majukumu yake...awe busy, in a meaningful way,
 
Mkemee shetani ndugu yangu. Unapendwa halafu unahisi usumbufu kna kero duh!!
Mkemee shetani
 
Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
Broo mwenyez hua anasikia kilio cha mtu na kukifanyia kazi,,iko Siku atapata jobless boy with six park atakua anafanya kazi ya kumbebisha tuu alaf utakuja hapa tena kulia lia.

Mshukuru Mungu songa mbele acha zako
 
Broo mwenyez hua anasikia kilio cha mtu na kukifanyia kazi,,iko Siku atapata jobless boy with six park atakua anafanya kazi ya kumbebisha tuu alaf utakuja hapa tena kulia lia.

Mshukuru Mungu songa mbele acha zako
Maisha ni huru free lifestyle yeye ni mtu mzima kama anaona hilo linalipa kuliko ndoa poa tu......mie nta move on tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…