Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa siku hizi mmezidi udhaifu, mwanaume gani mpaka mkeo anafika kiwango hicho cha kutaka kukudhalilisha na bado haujamnyoosha regardless umefanya kosa la aina gani.Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Sio mwimba kwaya tu, watu wanatembea na kikosi kizima cha kwaya lakini hawakuwahi kuwaambia waume zao wawaombe msamaha kanisani tena mbele ya kamera..!! Yee kama kashindwa kuolewa aende zake.Wewe kama ulitembea na mwimba kwaya, au church elders mkafumaniwa kabisa na kanisa likajua basi ni haki kumuomba msamaha mbele ya kanisa na kurudi kundini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Na bado.
Msimamo wako na uwe huo huo mkuu,
umeshamuomba msamaha yeye kama yeye, na bila shaka ulimkosea yeye kama yeye!
Sasa inakuaje tena ukaombe msamaha mbele ya kanisa?
Tena eti na mkanda wa video uchukuliwe.
Aise mliooa walokole kazi mnayo.
Mimi akinitamkia huo upuzi eti nikapige magoti mbele ya kanisa na huku narekodiwa, nitamnasa kibao huyo.
Kumuomba msamaha tu umempatia heshima, yake inatosha.
Mkuu, kawa NN?Ni kweli nililkuwa napita hapo kwako nikamsikia akisema "tena siku hiyo uliache gari barabarani ujongee kanisani kwa miguu"
Kabisa siyo bure hivi kwanza mke tu anajisikiaje kumuona mumewe kapiga magoti mbele ya kanisa anamuomba msamaha kitu ambacho kingeweza kufanyika chumbani wakiwa wawili tu?? Nahisi hata kanisa litashangaa!!
Haaaaa,haaaaMmmh makubwa hya ya jiwe haya
Kwa wewe nipo tayari kwenda hata cnn mpenzi....agaa agaa agaa agaa umenitekaaaaBby na wewe jiandae ukinikosea unakuja kuandika uzi JF, unapost insta, unapost WhatsApp status, group zako zote za kwenye simu,kanisani, kwenye jumuiya na kazini kwetu.
Na uniite my angel sio mke wangu wala darling
Usisahau kuleta mrejesho baada ya jumapili bosiWakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Naunga hoja hapa aisee.Usiombe mwanamke msamaha hata siku moja kwa maneno....
Wanawake tunawaomba msamaha kwa vitendo...
Huyo mkeo anataka kukudhalilisha...
usikute ni mchungaji ndio ameshinikiza hayo mambo....
Kuwa makini....
nahisi mimi simpendi mke wangu au labda hayajanikuta lakini siku akithubutu kuniambia hivi kama nilikosea hapo hapo namgeuzia kibano yeye ndio itabidi aniombe msamaha.Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Kwa wewe nipo tayari kwenda hata cnn mpenzi....agaa agaa agaa agaa umenitekaaaa