Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Sio kweli[emoji23][emoji23][emoji23] halafu wewe siku hizi hunipendi nakuona tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli[emoji23][emoji23][emoji23] halafu wewe siku hizi hunipendi nakuona tu
Ni kweli sio kweliSio kweli
Anataka kumnape hadharaniHakuna kosa lolote linalostahili msamaha wa namna hiyo mkuu.
Huyo mwanamke anaona unamuogopa sana ndio maana anaomba ujinga kama huo na pia hana akili.
Anataka akudhalilishe.
Hey dude man the fvck up please!! Don't ever stoop that low even for mill-second.Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Atajua yeyeApeleke wapi?
Acha ukorofi mkuuKwanza ashukuru hata umejishusha na kumuomba msamaha inatosha pengine yeye ndio chanzo cha wewe kuchepuka oohhh sorry kutenda hiyo dhambi huyo anakupanda kichwani
Please turn up the volume kila mtu mskie Marianah.Sasa uombe msamaha mbele ya kanisa kwani umelikosea kanisa??
Sidhani kama huyo mke wako anajua nini maana ya ndoa na msamaha!!
Anataka kumnape hadharani
Sasa uombe msamaha mbele ya kanisa kwani umelikosea kanisa??
Sidhani kama huyo mke wako anajua nini maana ya ndoa na msamaha!!
Hahahaha ila wewe bwana sasa kwani unadhani mimi natetea kila ujinga unaofanywa na wanawake wenzangu??Wow ni wewe kweli [emoji134][emoji134]Please turn up the volume kila mtu mskie Marianah. View attachment 1205905View attachment 1205906
Kabisa siyo bure hivi kwanza mke tu anajisikiaje kumuona mumewe kapiga magoti mbele ya kanisa anamuomba msamaha kitu ambacho kingeweza kufanyika chumbani wakiwa wawili tu?? Nahisi hata kanisa litashangaa!!Huyo mwanamke atakua anaugua uchizi.
Wakampime kama akili yake iko sawa.
Mimi hata huo msamaha siombagi. Ila ataniona tu nimenywea naye anajiongeza. Asipojiongeza, shauri zake.Msimamo wako na uwe huo huo mkuu,
umeshamuomba msamaha yeye kama yeye, na bila shaka ulimkosea yeye kama yeye!
Sasa inakuaje tena ukaombe msamaha mbele ya kanisa?
Tena eti na mkanda wa video uchukuliwe.
Aise mliooa walokole kazi mnayo.
Mimi akinitamkia huo upuzi eti nikapige magoti mbele ya kanisa na huku narekodiwa, nitamnasa kibao huyo.
Kumuomba msamaha tu umempatia heshima, yake inatosha.
Huyoo anataka kuku dhalilisha tuWakuu nawasalimu,