Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Labda hatujamwelewa ,kanisani maana ya jengo au kanisani mbele ya waumini?
 
Vijana wa siku hizi mmezidi udhaifu, mwanaume gani mpaka mkeo anafika kiwango hicho cha kutaka kukudhalilisha na bado haujamnyoosha regardless umefanya kosa la aina gani.
Be a man,muonyeshe uanaume wako. It should always be your way kama kweli wewe ni manaume principled, sijui umelelewaje mpaka unakuwa dhaifu kiasi hicho.
 
Wewe kama ulitembea na mwimba kwaya, au church elders mkafumaniwa kabisa na kanisa likajua basi ni haki kumuomba msamaha mbele ya kanisa na kurudi kundini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Na bado.
Sio mwimba kwaya tu, watu wanatembea na kikosi kizima cha kwaya lakini hawakuwahi kuwaambia waume zao wawaombe msamaha kanisani tena mbele ya kamera..!! Yee kama kashindwa kuolewa aende zake.
 
Mbele ya kanisa ngumu labda kama nilishiriki dhambi na kanisa lote
 
Kabisa siyo bure hivi kwanza mke tu anajisikiaje kumuona mumewe kapiga magoti mbele ya kanisa anamuomba msamaha kitu ambacho kingeweza kufanyika chumbani wakiwa wawili tu?? Nahisi hata kanisa litashangaa!!

I like this 100 times
 
Bila shaka ulichepuka , pole mkuu ila kuombana msamaha kanisani Nehi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bby na wewe jiandae ukinikosea unakuja kuandika uzi JF, unapost insta, unapost WhatsApp status, group zako zote za kwenye simu,kanisani, kwenye jumuiya na kazini kwetu.
Na uniite my angel sio mke wangu wala darling
Kwa wewe nipo tayari kwenda hata cnn mpenzi....agaa agaa agaa agaa umenitekaaaa
 
Mnaenda kufanya nini kanisani enzi hizi, huko ulaya walikowaanzishia hayo madini nowdays hawaendi kanisani wameona ujinga
 
Ningekuwa mimi angechezea makofi mengi sana, hata kama mimi ndio mwenye kosa.

Walokole mna shida sana
 
Usisahau kuleta mrejesho baada ya jumapili bosi
 
Ndio shida ya kumwoa mwanamke mwenye kakipato chake.
Shit wife kama huyu ulimpata wapi?
 
Usiombe mwanamke msamaha hata siku moja kwa maneno....
Wanawake tunawaomba msamaha kwa vitendo...
Huyo mkeo anataka kukudhalilisha...
usikute ni mchungaji ndio ameshinikiza hayo mambo....
Kuwa makini....
Naunga hoja hapa aisee.

Ukishasikia habari kama hizi za kwenda kuomba msamaha kanisani, ujue kuna mtu nyuma ya mke wake.

Amuombe msamaha mke wake na amtafutie zawadi pia.

Asipomuelewa basi, hayo mengine ni kwenda kujiaibisha tu. Na atamuona fala wa karne.
 
nahisi mimi simpendi mke wangu au labda hayajanikuta lakini siku akithubutu kuniambia hivi kama nilikosea hapo hapo namgeuzia kibano yeye ndio itabidi aniombe msamaha.
Kweli kwenye ndoa kuna wavulana na wanaume.
 
Hapo hamna ndoa,
Tafuta pesa kijana, ila usisahau kumsugua mkeo vzr mpaka aridhike. Ukikamilisha hayo, basi hutakuwa na shida na mwanamke wa aina yeyote hapa dunian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…