Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Umefanya kosa kubwa sana kuomba msamaha kwa mkeo. Wewe ndo unaishi kwake au yeye ndo anaishi kwako.
Watu mna shida sana. Mtawala unaomba msamaha kwa mtawaliwa? ujinga ulioje.
Yaani mwanamke anapaswa akusamehe mwenyewe bila kuomba.
Unakwama wapi ? au wewe ndo mwanamke?
 
Atakuwa kesha waumbua viongozi wajinga wa Kanisa wanoruhusu ujinga na udharilishaji,na itakuwa funzo kwao,
Lkn pia atakuwa kalionesha dhehebu kuwa hana chuki na mkewe japo kaamua kukataa kukaa na mjinga
Vipi kama lengo la huyo mwanamke ni waachane? Atakuwa karahisisha kazi.
Maana kuambiwa aombe msamaha mbele ya kanisa mwanamke anajua ni jambo ambalo mwanaume hataweza.
 
Yeye hajawahi kukukosea chochote? Au umetenda kosa gani hilo la kutisha kiasi hicho?
 
Mkuu hongera sana kwa kutambua umemkosea mkeo na ukamuomba msamaha, sio wanaume wote wanaliweza hilo wengi wanajifanya(wakamilifu)
Hayo mengine ni matakwa ya mkeo,i
Ila nikushauri huo msamaha uliouomba uambatane na vitendo[emoji1787][emoji1787]waeza mtoa mkaenda pata lanchi mahali flani patulivuuu ,ni mpenzi mkeo waeza mnunulia zawadi unayoona inamfaa
 
Du hii hatari. Ninachokiona hapo upendo wa mwanamke kwa mwanume umeisha kabisa mtu unayempenda huwezi kumdhalilisha kiasi hicho. Lakini pia haya ni maelezo ya upande mmoja inakuwa ni vigumu kufanya judgement bila kupata taarifa za upande wa pili. Kama ni mwanamke wa kawaida mwenye hekima zake ukiacha wanawake wasiojitambua, swali la msingi kwanini mpaka mefikia hatua hiyo?
 
MLIPOOOOANA ULITUALIKA

EMBU PAMBANA NA HALI ZENU PLS

NDOA AIMALIZIWI SHIDA ZAKE MITANDAONI

KAULIZE WALIOKUINGIZA CHAKA KUOA
 


Inawezekana mchunga kondoo anakula..mchungaji naye ni mja....ana moyo..ana ngunga...sio vibaya kumtafuna kondoo yule aliyenona.. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mwambie tu hizo zinapaswa kuwa siri za ndani kama hajaelewa kaa kimya tu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…