Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Yan katika ushauri wa kisenge ulio omba ndoo huu hapaa

Huyu manamke kakupimaaa weeeee, kukuchezee weeee, hushahii ndo huo. Wewe ndiye mwanaume pekee aliyewahi kuambiwaaa hvyoo toka dunia iumbwe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56]
Wapo wengi tu walioambiwa hivyo msidhani hizi kauli zenu za humu zinatutisha tunajua mnajifurahisha tu humu
 
Kanisa gani kwanza tuanzie hapo, maana unaweza kuta ni kanisa la familia a.k.a wapendwa, baba mchungaji mama mweka hadhina watoto waumini
 
Mimi mpaka nijue kosa ndiyo niseme kama mke yuko sahihi au la!
 
Katika ndoa za kikristo vitu 2 vinaweza kusababisha watu watengane

1. Kifo
2. Uzinzi

Ukishaenda kukiri kanisani kwamba umezini mbele ya watu anakuwa amepata go ahead ya nyie kuachana.. na assume ndo dhambi uliyofanya. Inawezekana anataka muachane ili asionekane ana makosa ndo anataka kutumia hiyo njia.
 
Usitumie nguvu kuomba msamha, hata akitamka kukusamehe haitasaidia. Chamsingi hapo jipe mda ili hasira zake zipoe, endelea na maisha huku ukimtumia jumbe za kuonesha bado unampenda, baada ya siku za usoni atakusamehe. Mwache ajifunze ya dunia ili pia ajue nini wanamme wanahitaji.
 
Ukiomba huo msamaha utakuwa umejiondoa rasmi kwenye jumuiya ya Mabaharia Tanzania
 
Nawwza nikasema hapo huna mke. Hapo kanisani ndiyo kuna jamaa anayekuchapia mkeo, a fruit does not fall far from a tree.
Na ukiendelea kumlazimisha abadili uamuzi basi jua yatakukuta ya yule tajiri wa kizungu mdachi aliyekutwa ameuawa nchini Kenya au utakutwa na yawakutayo wale wajifanyiao vidume wa kuoa wanawake wa Kimachame,
 
Kuomba msamaha huku unachukuliwa video siyo jambo la siku moja, hapo ni sawa na kuendelea kuomba msamaha milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…