Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Wakuu nawasalimu,

Niko katika hali hii kwa sasa.

Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.

Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.

1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.

2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.

3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.

Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?

Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?

Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.

Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.

Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.

Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
umejijibu vizuri sana
 
Angesema na kosa hapo tungetoa hukumu isiyo pendelea lakini hajasema kosa! Na huenda ni kawaida yake ndiyo maana imefikia hapo sizani kama mke ni kichaa mpaka atoe msamaha wadizaini hiyo, pole yake

hujawajua ewanawake vizuri mkuu, nikukumbushe tu kuwa wanawake na mapenzi kwa ujumla hawajawahi kuwa na formula, pia ni bora jamii nzima ikugeuke kuliko mwanamke maana akishaamua chake ni mbaya zaidi ndo hata kutoana uhai huwa ni kitu kidogo tu!""!
 
huwezi jua the other side story...huwezi jua hilo kosa....kuna makosa mtu akilitamka hadi shetani anakukana kuwa hahusiki ..kitu extra ordinary

hata kama kosa ni kubwa kiasi gani bado halihalalishi hayo masharti, hivi kuombana msamaha si ni njia moja wapo ya kumaliza tatizo, sasa hayo masharti unaona yana nia ya kumaliza tatizo, na amini nakuambia ukakubali kufanya hivyo usitegemee ndo itakuwa mwisho bali kesho ,utapewa mengine makubwa zaidi, ndo wanawake walivyo hasa anapokutingisha na wewe ukatingishika!!!
 
Natamani hii fursa niipate mimi halafu niishangaze dunia na hao waamini...

Itasababisha hadi wabadili katiba Yao ya kuruhusu upuuzi huy
 
Mimi nakushauri kubali kuomba radhi mbele ya kanisa,ila uchague maneno ya kusema,sema maneno machache sana,kwamba mke wangu nakuomba radhi kwa yote mbele uwepo wa Mungu,na ni matarajio yangu kuwa Mungu atailinda ndoa yetu na yoyote mwenye njama,hila na mkosa busara,Mungu atamlipa haki yake
 
Nenda tu si ulitongoza waumini wote mbona wenzako wakikosana na wake zao huwaoni wakipiga goti kumuomba mtu msamaha
 
Huyo mkeo ni mwanasiasa ndio maana anakuletea movie za kina Makamba na Nape.
 
Mimi nakushauri kubali kuomba radhi mbele ya kanisa,ila uchague maneno ya kusema,sema maneno machache sana,kwamba mke wangu nakuomba radhi kwa yote mbele uwepo wa Mungu,na ni matarajio yangu kuwa Mungu atailinda ndoa yetu na yoyote mwenye njama,hila na mkosa busara,Mungu atamlipa haki yake
Hakuna kitu kama hicho kaka. Nawafahamu wanawake siwezi kuwa mnyonge
 
Huyo mwanamke ameshakusoma na amekuona ni boya, wanawake ni werevu sana. Huo ni mwanzo tu ipo siku atakuambia ulambe mavi yake na utalamba tu, Muulize SAMSONI katika biblia alichofanywa ukikutana nae.
Wanaume siku hizi hawatumii akili, huwezi mridhisha mwanamke, kuridhika aamue mwenyewe tu.
 
Huyo hajakusamehe ndio maana anataka kukuaibisha.

Don't be a jerk. Soma alama za nyakati
 
Wakuu nawasalimu,

Niko katika hali hii kwa sasa.

Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.

Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.

1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.

2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.

3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.

Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?

Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?

Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.

Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.

Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.

Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Kosa gani hilo mkuu?
 
Mkeo ana pepo au anajihusisha katika makundi ya wanawake walioharibu ndoa zao
 
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
we jamaa lazima ulikuwa tanzania one form 4,una akili sana asee
 
Wakuu nawasalimu,

Niko katika hali hii kwa sasa.

Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.

Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.

1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.

2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.

3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.

Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?

Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?

Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.

Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.

Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.

Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.

Huyo mwanamke anataka kutafuta ushahidi usiyo na shaka wa kuvunja ndoa ila awe na madai halali.
Hata ukitimiza hayo yote, bado atavunja ndoa na kudai mali.
Sasa ni wewe uamue kudhalilika ili mkeo apate ushahidi wa kuvunja ndoa au ukomae ndoa ivunjike vile vile ingawaje unaweza kumshinda mahakani kama utakomaa bila kutoa ushahidi

BTW bado mkeo yumo ndani kwako? Au ameshasepa zake?
 
Wakuu nawasalimu,

Niko katika hali hii kwa sasa.

Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.

Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.

1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.

2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.

3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.

Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?

Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?

Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.

Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.

Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.

Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.

Weeee, acha upuuzi huo, wanaume wa siku hizi chips yai walaini sana nyie, piga keleb moja moto sana huyo mke wako utaona adabu full time, acha ufala ww, mwanaume ni kuwa na roho ngumu kuliko shetani.. Acha ujinga, piga atashika adabu, i wish huyo mke wako angekutana na mm, kwanza akinitazama machoni tu anaanza kuomba Mungu, au fukuza oa mwingine, hata kama una mchembuko nje kwa mwanaume ni kitu cha kawaida sana. Acha ujinga narudia, kunguta huyo alafu fukuza. Kama unamhudumia mahitaji yote ya msingi + sex anapata na bado anakuletea za kuleta, piga chini haraka, you will thank me later.❌✂😠
 
Samahani hivi JF bado ni eneo la great thinker au mimi na lag behind?Mkuu kama una amini kuna Mungu kawaone viongozi wako wa dini wakusaidie,unahitaji msaada wa haraka kuliko mleta mada.Unaweza usinielewe kwa sasa ila unahitaji msaada .
 
Viongozi wa dini? Ww msukule wa dini kweli, umepotea, hutajua nasema nn? Unaniambia viongozi wa dini? Unajua dini ww, kazi kukariri msiyo yajua..
 
Wakuu nawasalimu,

Niko katika hali hii kwa sasa.

Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.

Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.

1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.

2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.

3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.

Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?

Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?

Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.

Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.

Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.

Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Mkuu wewe kama ni kristo una kazi kubwa ya kufanya,kama mlifunga ndoa na ulikuwa na msimamizi wako wa ndoa haya ni mambo unayotakiwa kumshirikisha kama yupo.Lakini pia baada ya kutenda hiyo dhambi ambayo hujaitaja,umeona sehemu ya kupata ushauri kwa mambo yako ni hapa JF?Si manishi hapa JF hakuna watu watu wa kukushauri lakini naona kabla ya kuleta hapa kwa watu ambao wengine wamejificha nyuma ya ID wanazotumia ungetafuta watu wenye hekima huko kanisani kwenu wakakushauri.Umekosa kabisa wenye hekima huko kanisani kwenu?Kama ulikuwa hujui,mkeo anakujua kuliko hawa watu hapa JF hata kama ana mapungufu,nani hapa anyekujua wewe zaidi ya mkeo?Kama wewe unaufahamu naamini ulioa mwanamkem mwenye ufahamu na ulikuwa makini katika kuoa labda kama ulikutana naye instagram kama wengine wanavyokubeza.
Wewe inawezekana unapenda sana siri hivyo umeogopa kushirikisha watu wanaokujua ili matatizo yako wasiyajue na umekuja hapa JF ili upate ushauri kwa watu usiowajua na wao hawakujui.Swali kwako,una uhakikia mkeo hayupo hapa JF na hajaiona hii post?
Waombe viongozi wa hapo unapoabudu wawape mafundisho ya ndoa na mambo ya familia kwani unasafari ndefu,hakuna general formula kwenye ndoa.Nikimlinganisha mkeo na wewe naona yeye amejitahidi kukupeleka kanisani ila wewe umemleta JF,hapo wewe huoni tofauti?Mambo ya wewe umwite mama na akurekodi inawezekana aliyaongeza kama chumvi tu akuone je ni kweli unampenda na umejutia kosa lako kutoka ndani.Inshort umefail mtihani wake,biblia inawasihi wanaume waishi na wake zao kwa akili si kwa mabavu.Kuna mshauri wako mmjo anaitwa Joka mweusi sasa kweli ndugu yangu unashauriwa na joka mweusi anakwambia yeye anatisha.Soma alichokushauri.
Ndoa ni mpango wa Mungu na haijawahi kuwa ndoano,ndoa ni ndoano ni maneno ya wapagani wasiojua aliyeanzisha ndoa ni nani. Na kama ulichepuka biblia inasema "azinie na mwanamke hana akili kabisa,afanya jambo loitakaloiangamiza nafsi yake".
Ni muhimu mwanadoa upate ushauri kwa mtu mwenye ndoa au mtaalam wa mambo ya ndoa na familia.Ushauri wa bure muda mwingine huwa ni matatizo hasa kama anayeshauri hana ufahamu wa kutatua tatizo husika.
Mimi napita tu.
 
Jambo rahisi sana hili. Mpe tahadhari moja tu, mwaambie, ASIJE AKAJUTIA HICHO ANACHOKITAKA. Kama ni mimi ningeenda kumwacha RASMI HAPO KANISANI KWA KUKOSA HEKIMA! Mume ni KICHWA, sio matako au kisigino. Ningeenda na akitangulia mbele namwacha aongee weee, halafu nasimama nasema ni kweli na kanisa naomba mnisamehe. Mwisho kabisa, mbele yako baba mchungaji, mbele yenu washarika wenzangu, natangaza RASMI kuachana na mke wangu kuanzia sekunde hii. Sitaki kumwona kwangu wala asirudi akitoka ibadani. Taratibu nyingine zitafuata. Naondoka zangu taratiiiibu naacha watu wakizimia! Mke asie na hekima ni MAUTI kwako.
 
Back
Top Bottom