Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Asiejua maana haambiwi maana
 
Joka katika ubora wake
 
M
Mkewe atakuwa akina Atuganile Mwakifulefule,,,unamkosea dada msamaha unaomba ukoo mzima 😂😂😂 pambana na hali yako.
 
Wewe kama ulitembea na mwimba kwaya, au church elders mkafumaniwa kabisa na kanisa likajua basi ni haki kumuomba msamaha mbele ya kanisa na kurudi kundini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Na bado.
 
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
Vipi kama lengo la huyo mwanamke ni waachane? Atakuwa karahisisha kazi.
Maana kuambiwa aombe msamaha mbele ya kanisa mwanamke anajua ni jambo ambalo mwanaume hataweza.
 
Huyu mke Lengo lake Siyo jema, usijekuta kuna baharia kamwambia akufanyie hivyo ili amseti kama anampenda haswa,
Kuna madhara haya ukikubali masharti yake;
1.Kudhalilika fika
2.Kumpoteza mke
3.Kugeuzwa mke humo ndani
4.Kupoteza ubaharia wako
5.Kupoteza utu wako kwa ajili ya mapenzi
6.Kuwa kichaa
 
Kamwene Kamwene kamwene
 
umedungua
 
Kanisani ya Magogoni.

 
Anataka utoe boko ili apate bonge la ushuhuda amsingizie Mungu katenda wakat amekushurutisha kwa mtutu wa talaka , kataa hiyo roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…