Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha nicheke kwani umelikosea kanisa?? Na ni kanisa gani hilo linakubali huo upuuzi au ni haya ya mitume sijui manabii.
Achana na hiyo kiumbe atakudhalilisha na ukute mchungaji wake ndo anampa hizo condition.
 
Kwanza kabisa lazima ujue lengo lake huyo mke si kuombwa msamaha, lengo lake kuu ni kukudhalilisha.
Pili ukikubali kufanya hivyo, jua kabisa tayari ameshakupanda kichwani na atakudharau kuanzia siku hio.

ulitenda kosa gani mkuu?

Hana mpango wa kumdhalilisha huyo aliidhalilisha ndoa tayar kwa hio lazma ajutie kosa lake , na n kosa ambalo jamii inajua ndo maana kuna hayo materm, mbona wa2 wanatengwa kwny makanisa huyu manzi yupo sawa
 
Kama hawezi masharti si aache, inawezekana mke hataki kumsamehe ndio maana kampa conditions asizoweza kufanya[emoji1][emoji1]
Binafsi mimi sioni cha ajabu kuomba msamaha kama nimekosa kwelikweli, tena ntatumia hiyo nafasi kuonekana mimi ndio mshindi (kama alilenga kunidhalilisha aibu itamrudia yeye)[emoji1][emoji1]
Kuomba msamaha sio tatizo...
Lakini kwa nini iwe kanisani? Hapo ndipo nashindwa kueleweka dhamira ya huyo mke.
Huyo Mwanamke atakuwa na lake jambo sio bure.
 
Uyo mke wako ni malaika kwamb ayy hakoseag au hatokosea au ukaombe msamaha kanisan ili iweje sasa
 
Kuomba msamaha sio tatizo...
Lakini kwa nini iwe kanisani? Hapo ndipo nashindwa kueleweka dhamira ya huyo mke.
Huyo Mwanamke atakuwa na lake jambo sio bure.
Asante mkuu, nimesema siombi msamaha kwa staili hii. Acha nikose fursa. Nina uhakika maisha yataendelea .
 
Ulimgegeda beki 3?? Anyway hata kama ulifanya dhambi zaidi ya hiyo.huo msamaha hapana, mambo ya siri kanisani tena? Mkitoka huko atalala na wewe kweli? Nooooo usiende.

Nb. Hilo kabisa lenu ni haya ya mwendo kasi na kuna jamaa huko kanisani anamkunja, ndo kamshauri hivyo soooo amua😂😂
 
Hana mpango wa kumdhalilisha huyo aliidhalilisha ndoa tayar kwa hio lazma ajutie kosa lake , na n kosa ambalo jamii inajua ndo maana kuna hayo materm, mbona wa2 wanatengwa kwny makanisa huyu manzi yupo sawa

unaelewa maana ya neno kudhalilisha mkuu? maana yake ni kumfanya mtu ajihisi ni duni, kwa kizungu inferior. kudhalilisha ni kumtia mtu aibu.
kitendo cha kumwambia akapige magoti mbele ya umati na aseme uovu aliotenda ni udhalilishaji.
kama kujitia kosa jamaa ameshajutia, kama msamaha ameshaomba, ni mwanamke tu amefanya moyo wake kuwa mgumu.
nasisitiza tena, asije akafanya hiko kitendo akadhani mke ataendelea kumuheshimu, atadhalilika na kujishushia heshima.
 
Ulimgegeda beki 3?? Anyway hata kama ulifanya dhambi zaidi ya hiyo.huo msamaha hapana, mambo ya siri kanisani tena? Mkitoka huko atalala na wewe kweli? Nooooo usiende.

Nb. Hilo kabisa lenu ni haya ya mwendo kasi na kuna jamaa huko kanisani anamkunja, ndo kamshauri hivyo soooo amua[emoji23][emoji23]

Luckyline una akili sana.
 
Ampande kichwani mara ngapi ?
haha.. inawezekana tayari kashapandwa kichwani maana angekua anamtawala mke wake asingepata ujasiri wa kumuamrisha hivyo. yeye anaona kama mke wake kamuomba afanye hivyo kumbe amemrishwa hapo, na akikataa maanake kuna consequences.
 
unaelewa maana ya neno kudhalilisha mkuu? maana yake ni kumfanya mtu ajihisi ni duni, kwa kizungu inferior. kudhalilisha ni kumtia mtu aibu.
kitendo cha kumwambia akapige magoti mbele ya umati na aseme uovu aliotenda ni udhalilishaji.
kama kujitia kosa jamaa ameshajutia, kama msamaha ameshaomba, ni mwanamke tu amefanya moyo wake kuwa mgumu.
nasisitiza tena, asije akafanya hiko kitendo akadhani mke ataendelea kumuheshimu, atadhalilika na kujishushia heshima.

Kupga magot na kuitana mama mm siungi mkono ila kwa msamaha jamaa aende tu
 
Back
Top Bottom