Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Kwanza kabisa lazima ujue lengo lake huyo mke si kuombwa msamaha, lengo lake kuu ni kukudhalilisha.
Pili ukikubali kufanya hivyo, jua kabisa tayari ameshakupanda kichwani na atakudharau kuanzia siku hio.
ulitenda kosa gani mkuu?
Acha jeuri wewe, nani kakuambia nimechepuka?wanawake kama hao ndio wanatakiwa sasa,unahofia kudhalilishwa,wewe ulivyokua unachepuka hukua unamdhalilisha mkeo?
Haaaaa, haaaaaMke wako ana undugu na yule mkubwa wa nchi nn??
Mimi , sitaki kuwa kama yule......Nenda tu mzee baba Mbona Nape katubu na kadhalilishwa na mambo yanaenda?Just kidding kaka baki na msimamo wako!
Kuomba msamaha sio tatizo...Kama hawezi masharti si aache, inawezekana mke hataki kumsamehe ndio maana kampa conditions asizoweza kufanya[emoji1][emoji1]
Binafsi mimi sioni cha ajabu kuomba msamaha kama nimekosa kwelikweli, tena ntatumia hiyo nafasi kuonekana mimi ndio mshindi (kama alilenga kunidhalilisha aibu itamrudia yeye)[emoji1][emoji1]
Ndio mkuu , mimi siyo boya kama ni fursa acha nikose.Usifanye huo upuuzi bana!!
Tena ikiwezekana mwambie aondoke kwako akatufute mwanaume mwingine!
Shwaini sana huyo!
Asante mkuu, nimesema siombi msamaha kwa staili hii. Acha nikose fursa. Nina uhakika maisha yataendelea .Kuomba msamaha sio tatizo...
Lakini kwa nini iwe kanisani? Hapo ndipo nashindwa kueleweka dhamira ya huyo mke.
Huyo Mwanamke atakuwa na lake jambo sio bure.
Hana mpango wa kumdhalilisha huyo aliidhalilisha ndoa tayar kwa hio lazma ajutie kosa lake , na n kosa ambalo jamii inajua ndo maana kuna hayo materm, mbona wa2 wanatengwa kwny makanisa huyu manzi yupo sawa
Ulimgegeda beki 3?? Anyway hata kama ulifanya dhambi zaidi ya hiyo.huo msamaha hapana, mambo ya siri kanisani tena? Mkitoka huko atalala na wewe kweli? Nooooo usiende.
Nb. Hilo kabisa lenu ni haya ya mwendo kasi na kuna jamaa huko kanisani anamkunja, ndo kamshauri hivyo soooo amua[emoji23][emoji23]
haha.. inawezekana tayari kashapandwa kichwani maana angekua anamtawala mke wake asingepata ujasiri wa kumuamrisha hivyo. yeye anaona kama mke wake kamuomba afanye hivyo kumbe amemrishwa hapo, na akikataa maanake kuna consequences.Ampande kichwani mara ngapi ?
unaelewa maana ya neno kudhalilisha mkuu? maana yake ni kumfanya mtu ajihisi ni duni, kwa kizungu inferior. kudhalilisha ni kumtia mtu aibu.
kitendo cha kumwambia akapige magoti mbele ya umati na aseme uovu aliotenda ni udhalilishaji.
kama kujitia kosa jamaa ameshajutia, kama msamaha ameshaomba, ni mwanamke tu amefanya moyo wake kuwa mgumu.
nasisitiza tena, asije akafanya hiko kitendo akadhani mke ataendelea kumuheshimu, atadhalilika na kujishushia heshima.
Niwe mke wa pili? Daah eti umbo namba nane[emoji3][emoji3] hujaacha tu matusi